Bill Gates aonya na kutabiri coronavirus kuua watu milioni 10 barani Afrika

Bill Gates aonya na kutabiri coronavirus kuua watu milioni 10 barani Afrika

Najaribu kujiuliza wizara zina mpango mkakati gani mbona kama maisha ya watanzania yanabetiwa both team to score au loose win
Hawa mabeberu kuna muda wanajikuta wana akili saaana.

Yaan hapo billie katoa warning ili watuletee chanjo feki zenye chips watudunge kisha watufanye tubehave watakavyo.

Kwa akili ya kawaida tu em fatilia generation ya wale watoto waliopewa chanjo ya matone miaka ya nyuma kdg. Wengi wao ukifatilia tabia zao kiundani utashangaa kabisa.
Hahaha hawa watoto wa matone inabidi kuwastudy nakuandika resesarch na tafiti ziandikwe kitaalamu wenzetu ndo wanapotupita hapa, sababu zitasaidia vizazi vijavyokuwa kutokana na rekodi nzuri na ushahidi hivyo itasaidia kufanya maamuzi nakujiamini na kupinga kwa hoja (hence proven)
 
Huyu kiazi Bill Gates anatuandaa kisaikolojia, inamaana walitengeneza ugonjwa ambao hawana dawa?

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Wakati Mchina anatengeneza hao Virus, USA na Europe walishafahamu in and out Wakaanza kufanya utafiti wa Chanzo na Dawa za kutibu, Ndo maana majuzi tu Wagonjwa wote waliogunduliwa UK waliponywa ki urahisi tu vile Dawa tayari wanazo....

Mmarekani anasema Dawa anazo Watu wanashangaa kumbe alitengeneza Dawa toka miaka hiyo akisubiri siku Kama za Sasa ambapo Virus hao Wameshindwa kudhibitiwa na Mchina.
 
Tuombe tu usifike bongo,na hivi wanasema wachina wanakuja bongo kama kawaida..MUNGU atunusuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisamehewe bure lakini mamlaka zetu hazijawa serious na janga hili. Labda akipatikana mgonjwa wa kwanza hapa ndo tutaanza kukimbizana. Mungu apishe mbali.

Kwa hii tabia yetu ya kugeuza kila kitu siasa, sijui hatima yetu itakuwaje!!!!!
 
Unaipimaje hiyo SANA.....SAAANA.....?
Daah Nimesikia Tangazo Radio one asubuhi leo.Japo wamesema ugonjwa haupo.

Ila tumeambiwa ukiona mtu ana mafua makali saaana.Saana...basi toa taarifa mapema kituo cha Afya au Hospital iliyo karibu
 
Unaipimaje hiyo SANA.....SAAANA.....?
Binafsi labda nimekuta Tangazo katikati ile asubuhi ila.Linasema Ukiona dalili za mafua makali yasiyoisha na Kichwa kuuma.

Ufike Hospital au Zahanati au kituo cha Afya kilicho karibu yako...Kwa aliyesikia atakuja kutusaidia.

Sikiliza Radio One utalisikia kama wataendelea kulitangaza.

Sasa kupima ndio hapo sijajua labda wa Edit Tangazo.Nimeshtuka jinsi lilivyotangazwa ni kama Mtangazaji alikuwa na Huzuni.
 
Viongozi wetu wanapuuzia vitu sana,

Sasa ishu ya hatari kama hii,wanachukulia kawaida
Nisamehewe bure lakini mamlaka zetu hazijawa serious na janga hili. Labda akipatikana mgonjwa wa kwanza hapa ndo tutaanza kukimbizana. Mungu apishe mbali.

Kwa hii tabia yetu ya kugeuza kila kitu siasa, sijui hatima yetu itakuwaje!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom