The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Aipate tu mama samia ale shavu kwa mujibu wa katibaJiwe the witch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aipate tu mama samia ale shavu kwa mujibu wa katibaJiwe the witch
Pia tunaye yule nabii wa7Huyu bill gate ndo wauaji wenyewe hao,Ni mbuzi katika ngozi ya kondoo,
Huku huo ugonjwa haufui dafu,tuna mitishamba ya kila Aina,hawatuwezi
Mbona huko Tanga lushoto watu wanapona Kama kawa,SEMA kibongobongo ukijitangaza kuvumbua kitu baadala ya kusapotiwa unaoelekwa selo na ndo maana wataalamu wanapiga kimya tu,wenyeji wao ndo wanaoneemeka.Mitishamba yenu ingewasaidia kupambana na HIV/UKIMWI ningeiona ya maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini isizuie jumla wachina kuingia nchini.?Serikali iweke kambi mahalum kwanza kwa chinise wanaokuja tz kukaa apo kwa mda chini ya uangalizi wasituletee balaa
Tuombe tu usifike bongo,na hivi wanasema wachina wanakuja bongo kama kawaida..MUNGU atunusuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Mchina anatengeneza hao Virus, USA na Europe walishafahamu in and out Wakaanza kufanya utafiti wa Chanzo na Dawa za kutibu, Ndo maana majuzi tu Wagonjwa wote waliogunduliwa UK waliponywa ki urahisi tu vile Dawa tayari wanazo....
Mmarekani anasema Dawa anazo Watu wanashangaa kumbe alitengeneza Dawa toka miaka hiyo akisubiri siku Kama za Sasa ambapo Virus hao Wameshindwa kudhibitiwa na Mchina.
Hili sikuwahi kulijua! Wakoje kwani?Hawa mabeberu kuna muda wanajikuta wana akili saaana.
Yaan hapo billie katoa warning ili watuletee chanjo feki zenye chips watudunge kisha watufanye tubehave watakavyo.
Kwa akili ya kawaida tu em fatilia generation ya wale watoto waliopewa chanjo ya matone miaka ya nyuma kdg. Wengi wao ukifatilia tabia zao kiundani utashangaa kabisa.
Yote yanawezekana cha msingi nikuangalia njia nzuri ambayo bado haiwezi athiri mausiano yetu na China kwa iyo kinachotakiwa ni kutumia njia isiyokua na ukakasiKwa nini isizuie jumla wachina kuingia nchini.?
una uhakika?Mbona huko Tanga lushoto watu wanapona Kama kawa,SEMA kibongobongo ukijitangaza kuvumbua kitu baadala ya kusapotiwa unaoelekwa selo na ndo maana wataalamu wanapiga kimya tu,wenyeji wao ndo wanaoneemeka.