Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
“Gonjwa lingine la Mlipuko litakalofuata nadhani litakuwa hatari zaidi kuliko Corona ambayo imeuwa Watu ila lijalo litauwa zaidi, tumshukuru Rais Trump na Serikali yake kwa kutengeneza chanjo ambayo ilisaidia sana na nilimwambia tuje na chanjo ya Ukimwi pia kutokana na uvumbuzi, kuna mengi ya kuogopa nje ya silaha za Nuclear, tunapaswa kujipanga sana na Gonjwa lijalo”
- Bill Gates, Tajiri kutoka nchini Marekani akihojiwa kipindi cha The View kupitia ABC mwaka jana.
- Bill Gates, Tajiri kutoka nchini Marekani akihojiwa kipindi cha The View kupitia ABC mwaka jana.