Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 954
- 1,617
Taja moja ilipo kwa faida ya wana jfUnazijua Siri za hii Dunia za hao watu wakubwa wewe?
Unazijua maabara za Siri?
Taja moja ilipo kwa faida ya wana jfUnazijua Siri za hii Dunia za hao watu wakubwa wewe?
Unazijua maabara za Siri?
Kalaghabaho yanapikwaMkuu kitu ambacho napingana na watu ni kuamini maginjwa yanatengenezwa tena maginjwa yale konki...
Hakuna kitu kama hiko
Hakuna hakuna hakuna..
Alafu sisi wa africa tupo very resistance kwa magonjwa ya huko mabara mengine..
Hahaha 😂. Billy anazingua sana.Sasa hivi yuko maabara anapika vyungu ili aje alimwage hilo gonjwa mitaani.
Shenzi sana we Billgeti.
Cc: secretarybird
Sitapukutika!Hivyo unafikiri wewe usiekuwa muoga hautapukutika..?
Tena ya secondary school?!
I can prove hata mwenye bachelor ya bios hapa bongo haelewi chochote kwenye utengenezaji wa dawa
Kama ID yako unavyojiita wewe ndio ulivyo mkuu. mnamo miaka ya 2000 huyuhuyo billgate aliiambia BBC kua wataalamu wao wanajalibu kutengeneza kizazi kipya kisichotawalika kilahi. hadi leo tunaona kizazi cha kuanzia miaka hiyo kilivyo. ni kizazi kisicho ambilika,kizazi hiki ukikikuta kinafanya mambo yao kiache kabisa hakirekebishiki kilahisi.Mkuu kitu ambacho napingana na watu ni kuamini maginjwa yanatengenezwa tena maginjwa yale konki...
Hakuna kitu kama hiko
Hakuna hakuna hakuna..
Alafu sisi wa africa tupo very resistance kwa magonjwa ya huko mabara mengine..
HongeraSitapukutika!
Uwongo uwongo tu..Kalaghabaho yanapikwa
Kwahyo mwanetu unaamini majamaa wanatengeneza magonjwa wapige pesa sio...😂😂😂😂😂😂😂Kama ID yako unavyojiita wewe ndio ulivyo mkuu. mnamo miaka ya 2000 huyuhuyo billgate aliiambia BBC kua wataalamu wao wanajalibu kutengeneza kizazi kipya kisichotawalika kilahi. hadi leo tunaona kizazi cha kuanzia miaka hiyo kilivyo. ni kizazi kisicho ambilika,kizazi hiki ukikikuta kinafanya mambo yao kiache kabisa hakirekebishiki kilahisi.
lakini pia bill ndie mdhamini mkuu wa mambo ya maabalah,hivi hujiulizi kwanini aseme yeye kwani yeye ndio msemaji?.
Data ya kawaida jf inafunguka bila vpn ila ukitumia Wifi hadi uwashe vpnPia mwambie sasa hv jf tunatumia bila VPN faken
Sisi masikini unatumia ardhi kupata mahitajiUwongo uwongo tu..
Tufanye kazi jamni