Ndugu kwa namna elimu inavyopanuka sikuhizi hata kama hawatengenezi basi wanaweza kuboresha virusi vilivyopo kuwa na nguvu fulani, fani ambayo si yakwako ogopa sana kuitolea jibu la asilimia mia moja!.Mkuu kitu ambacho napingana na watu ni kuamini maginjwa yanatengenezwa tena maginjwa yale konki...
Hakuna kitu kama hiko
Hakuna hakuna hakuna..
Alafu sisi wa africa tupo very resistance kwa magonjwa ya huko mabara mengine..
Hivyo unafikiri wewe usiekuwa muoga hautapukutika..?Lije Tu kwakweli waoga liwapukutishe!
Mkuu kwa ulimwengu wa sasa una mawazo ya "" wazungu wanatengeneza magonjwa kutumaliza wa africa et tunazaliana sana, au wanatengeneza magonjwa ili wapige pesa ""Ndugu kwa namna elimu inavyopanuka sikuhizi hata kama hawatengenezi basi wanaweza kuboresha virusi vilivyopo kuwa na nguvu fulani, fani ambayo si yakwako ogopa sana kuitolea jibu la asilimia mia moja!.
Ili wapige pesa, wingi wetu waafrika bado sio hatari kwao.Mkuu kwa ulimwengu wa sasa una mawazo ya "" wazungu wanatengeneza magonjwa kutumaliza wa africa et tunazaliana sana, au wanatengeneza magonjwa ili wapige pesa ""
Tutajie alietengeneza mkuuNyie pigeni zogo tu watu wameshakaa laboratory wametengeneza gonjwa mpaka wenyewe wamesisimka!.. halafu we karumanzira unazungumzia ancestors hehe!.. huku africa hatuna hata wataalamu wakuwategemea wataalamu wetu pia hutegemea wataalamu wa nje!, kikubwa tunachoweza kufanya ni kutegemea waganga wakienyeji...😅
Kuna watu wanamawazo yakiwaki sana aisee.Mkuu kwa ulimwengu wa sasa una mawazo ya "" wazungu wanatengeneza magonjwa kutumaliza wa africa et tunazaliana sana, au wanatengeneza magonjwa ili wapige pesa ""
Mkuu kitu ambacho napingana na watu ni kuamini maginjwa yanatengenezwa tena maginjwa yale konki...
Hakuna kitu kama hiko
Hakuna hakuna hakuna..
Alafu sisi wa africa tupo very resistance kwa magonjwa ya huko mabara mengine..
Wanatengenezaje we jamaa,umesoma biology kweli wwCorona alisema tutaanguka kama mizoga mtaani..but haikuwa hivyo
Haya magonjwa wanatengeneza virus maabara Kisha wanapandikiza Kwa binafamu wakati wao washajiwekea Kinga.
Kisha wanaanza kupiga pesa za chanjo walizobuni Dunia nzima
Mkuu kwa ulimwengu wa sasa una mawazo ya "" wazungu wanatengeneza magonjwa kutumaliza wa africa et tunazaliana sana, au wanatengeneza magonjwa ili wapige pesa ""
Unazijua Siri za hii Dunia za hao watu wakubwa wewe?Wanatengenezaje we jamaa,umesoma biology kweli ww
Kaka Hilo Sio Linasukwa,Yamekwishasukwa Ni Swala Muda Tuu...Ni Phase After Phase...Afya Zetu Ni Biashara Zao....Ukiona hivyo jua liko maabara linas
Anajivunia biology ya vitabu vya mitaala shule..Hivi hiyo biology uliyofundishwa.. wapi imekufanya ujue kuhusu kutengeneza dawa ?!
Kubwa zaidi hawapendi kusoma kujua Dunia na ajenda zake za Siri inaendaje..Tena ya secondary school?!
I can prove hata mwenye bachelor ya bios hapa bongo haelewi chochote kwenye utengenezaji wa dawa