Ajiandae yeye, sisi tilisha andaliwa na ancestors wetu way back.
Nyie pigeni zogo tu watu wameshakaa laboratory wametengeneza gonjwa mpaka wenyewe wamesisimka!.. halafu we karumanzira unazungumzia ancestors hehe!.. huku africa hatuna hata wataalamu wakuwategemea wataalamu wetu pia hutegemea wataalamu wa nje!, kikubwa tunachoweza kufanya ni kutegemea waganga wakienyeji...😅Pia mwambie sasa hv jf tunatumia bila VPN faken
Yaani hapa tulipo hatuna tofauti na ugonjwa, uje tu. Hatukutuma maombi kuzaliwa.
Nyie pigeni zogo tu watu wameshakaa laboratory wametengeneza gonjwa mpaka wenyewe wamesisimka!.. halafu we karumanzira unazungumzia ancestors hehe!.. huku africa hatuna hata wataalumu wakuwategemea wataalumu wetu pia hutegemea wataalumu wa nje!, kikubwa tunachoweza kufanya ni kutegemea waganga wakienyeji...😅
Sasa hivi yuko maabara anapika vyungu ili aje alimwage hilo gonjwa mitaani.
Shenzi sana we Billgeti.
Cc: secretarybird
Ukiona hivyo jua liko maabara linasukwa
Amejuaje au ndiyo wameshalitengeneza wanasubiri kulimwaga uwanjani?“Gonjwa lingine la Mlipuko litakalofuata nadhani litakuwa hatari zaidi kuliko Corona ambayo imeuwa Watu ila lijalo litauwa zaidi, tumshukuru Rais Trump na Serikali yake kwa kutengeneza chanjo ambayo ilisaidia sana na nilimwambia tuje na chanjo ya Ukimwi pia kutokana na uvumbuzi, kuna mengi ya kuogopa nje ya silaha za Nuclear, tunapaswa kujipanga sana na Gonjwa lijalo”
- Bill Gates, Tajiri kutoka nchini Marekani akihojiwa kipindi cha The View kupitia ABC mwaka jana.
🤣Si ndio mkuu, wao wana Laboratories sisi tuna waganga na mizimu, kila mtu ategemee alicho nacho.
Kutiana stress tu, kmmke
Sisi tutapiga nyungu tu, sasa hivi tutazidisha na mizizi ya mimea ya baharini.“Gonjwa lingine la Mlipuko litakalofuata nadhani litakuwa hatari zaidi kuliko Corona ambayo imeuwa Watu ila lijalo litauwa zaidi, tumshukuru Rais Trump na Serikali yake kwa kutengeneza chanjo ambayo ilisaidia sana na nilimwambia tuje na chanjo ya Ukimwi pia kutokana na uvumbuzi, kuna mengi ya kuogopa nje ya silaha za Nuclear, tunapaswa kujipanga sana na Gonjwa lijalo”
- Bill Gates, Tajiri kutoka nchini Marekani akihojiwa kipindi cha The View kupitia ABC mwaka jana.
Huyu na trump ni damudamu na vile mliwachukiza na lile file la Epstein mara hii tutakiona chamtema kuni!.. hawa hata COVID 19 nafikiri ilikuwa ni combination yao ileMzee wa hizi kazi ndani ya nyumba again 😂
Mkuu kitu ambacho napingana na watu ni kuamini maginjwa yanatengenezwa tena maginjwa yale konki...Nyie pigeni zogo tu watu wameshakaa laboratory wametengeneza gonjwa mpaka wenyewe wamesisimka!.. halafu we karumanzira unazungumzia ancestors hehe!.. huku africa hatuna hata wataalumu wakuwategemea wataalumu wetu pia hutegemea wataalumu wa nje!, kikubwa tunachoweza kufanya ni kutegemea waganga wakienyeji...😅