Bill ya maji Arusha yapanda kwa asilimia 50%. Kuna nini?

Bill ya maji Arusha yapanda kwa asilimia 50%. Kuna nini?

Bhaghosha

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
234
Reaction score
183
Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50.

Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? Inatisha.
 
Tanzania Nzima Kilio Yatoke Yasipotoka Bill Inatumwa
Najiuliza Wakati Wa Ngosha Haikuwa Hivi
Sasa Wanafanya Maokoto Ya Kutisha
Ila Nenda EWURA Kalalamika Kuna Mahakama Yao Kule
 
Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50. Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu ya computor au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? inatisha.
Labda DP W washapewa ARUWASA!
 
Ni kugoma kulipa,huu ni unyonyaji kwa watanzania
 
Imepanda kivipi?
Huku kwetu tumetumiwa unit tu bila bei Kwa ajili ya kuhakiki huko mmeshatumiwa bei?
 
Bei hizo hapo.

image-2023-09-11-19:52:23-637.jpg
 
Back
Top Bottom