Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

Bora wangemuweka hata FID Q kuliko huyo jay Z kuwa namba moja hapo...


Uzito wake hata kwa Eminem hafiki.
 
Watakua wameangalia uwezo wa kipesa

IMG_0368.jpg
 
Mbona inajulikana wazi kwamba jay z huwa anatoa hela nyingi sana kwa hizi platform hasa Billboard na Vibe hili aendelee kupewa promo na hata Grammy inasemekana jamaa anawatoa mamilioni ya dola wampe promo za kutosha ..ona kama hapo Wamemuweka Jay-Z katika 1, Kendrick Lamar katika 2, Nas 3, Tupac 4, Eminem katika 5 na Biggie katika 6 kwa ajili ya 50 bora Rappers of All Time List.

Kisha wakawa na ujasiri wa kuzungumza kuhusu Mapungufu ya 2pacs kama rapper lakini hawakuwahi kugusia ukweli kwamba marapa wengi kwenye orodha hii hawawezi kamwe kutengeneza ngoma kali kama Street Fame. Hawakutaka kumgusia Jay kuiba Rhymes nyingi za Biggie na nyimbo nzima kutoka kwa Ice T na 2Pac.

Hawakutaka kugusia kwamba Jay na Kendrick wamekuwa na career ya muda mrefu tofauti na miaka ambayo pac na biggie wamekuwa kwenye game na kufanya makubwa, Jay-Z amekuwa kwenye gemu tangu 1986 na kipindi chote hicho walipokuwa hai kina Biggie, Pac na Eazy-E hakuwahi hata kuwasogelea kwa ubora

Jay-Z kafanya mengi lakini tuseme ukweli, kulikuwa na gap kubwa kwenye mziki wa Rap baada ya kupoteza magwiji 3 miaka ya nyuma huko. Si hivyo zamani pia kulikuwa na battle ya Big L na Big Pun ambalo jay z hata hakulisogelea kwa ubora lakini halikwenda mbalo kwani wasanii wote wawili pia walifariki. Jay pia hakuwahi kupata Diamond plaque yoyote ktk mauzo ya kazi zake. Eminem ana 3 na Pac ana 2 huku Makaveli akiwa anafuata.
au tufanye kwamba Nas hakutoa albamu 4 mfululizo huku Jay akiweka mstari mmoja tu ktk battle yao ..Na tusifanye kama Nas hakushinda vita yake dhidi ya Jay na Ether. Billboard ni kituko sana. Pac is the greatest of all time
Acha uongo.
 
View attachment 2511141
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.

Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea

Here's the entire list
Billboard Top 50 Greatest Rappers list

50. Rick Ross
49.Rev Run
48. Melle Mel
47. MC Lyte
46. Jadakiss
45. Ice - T
44. Queen Latifah
43. Bun B
42. Redman
41. E-40
40. Dr.Dre
39. Ludacris
38. Gucci Mane
37. Common
36. Mos Def
35. Future
34. Chuck D
33. Busta
32. T.I
31. Lil Kim
30. Lauryn Hill
29. Pusha T
28. Black Thought
27.Q-Tip
26. Big Pun
25. Method Man
24. KRS-One
23. Kurtis Blow
22. Ghostface
21. DMX
20. Big Daddy Kane
19. Missy
18. Ice Cube
17. 50 Cent
16. Scarface
15. J.Cole
14. LL Cool J
13. Rakim
12. Andre 300
11. Kanye West
10. Nicki Minaj
9. Snoop
8. Drake
7. Lil Wayne
6. Biggie
5. Eminem
4. 2pac
3. Nas
2. Kendrick
1. Jay-Z

VIGEZO
From there, the teams took into account the following criteria, not in any particular order: body of work/achievements (charted singles/albums, gold/platinum certifications), cultural impact/influence (how the artist’s work fostered the genre’s evolution), longevity (years at the mic), lyrics (storytelling skills) and flow (vocal prowess).


Binafsi Sio muumini wa kuamini hizi list na tuzo kama kigezo kikuu cha ubora wa msanii lakini angalau ndio platform zinazo heshimika na hutumika kuleta mijadala zaidi

Kilicho nifurahisha ni angalau sasa Billboard wameanza kuuelewa ukubwa wa NAS kwenye hii game
Kilicho nishangaza ni Lamar kuwa juu ya Lil Wayne achililiambali Nas Big na Pac

Nini maoni yako?

UPDATES
Hii ndio full list ya rapa bora 50 wa muda wote kwa mujibu wa Billboard/Vibes
Kumuweka Jadakiss nafasi ya 46 is a travesty. Yaani Gucci Mane na Future ni bora kuliko Kiss? Come on maaan!!!!
 
Back
Top Bottom