witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Huwa anahonga kweli mpaka kwenye Forbes ili aonekane rapper tajiri kuliko woteAcha uongo.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anahonga kweli mpaka kwenye Forbes ili aonekane rapper tajiri kuliko woteAcha uongo.
Wana category yao hip hop singeliTyga hayupo??[emoji36][emoji36][emoji36]
JAY Z anakuwaje GOAT wakati muda bado unaendelea?View attachment 2511141
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.
Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea
Here's the entire list
Billboard Top 50 Greatest Rappers list
50. Rick Ross
49.Rev Run
48. Melle Mel
47. MC Lyte
46. Jadakiss
45. Ice - T
44. Queen Latifah
43. Bun B
42. Redman
41. E-40
40. Dr.Dre
39. Ludacris
38. Gucci Mane
37. Common
36. Mos Def
35. Future
34. Chuck D
33. Busta
32. T.I
31. Lil Kim
30. Lauryn Hill
29. Pusha T
28. Black Thought
27.Q-Tip
26. Big Pun
25. Method Man
24. KRS-One
23. Kurtis Blow
22. Ghostface
21. DMX
20. Big Daddy Kane
19. Missy
18. Ice Cube
17. 50 Cent
16. Scarface
15. J.Cole
14. LL Cool J
13. Rakim
12. Andre 300
11. Kanye West
10. Nicki Minaj
9. Snoop
8. Drake
7. Lil Wayne
6. Biggie
5. Eminem
4. 2pac
3. Nas
2. Kendrick
1. Jay-Z
VIGEZO
From there, the teams took into account the following criteria, not in any particular order: body of work/achievements (charted singles/albums, gold/platinum certifications), cultural impact/influence (how the artist’s work fostered the genre’s evolution), longevity (years at the mic), lyrics (storytelling skills) and flow (vocal prowess).
Binafsi Sio muumini wa kuamini hizi list na tuzo kama kigezo kikuu cha ubora wa msanii lakini angalau ndio platform zinazo heshimika na hutumika kuleta mijadala zaidi
Kilicho nifurahisha ni angalau sasa Billboard wameanza kuuelewa ukubwa wa NAS kwenye hii game
Kilicho nishangaza ni Lamar kuwa juu ya Lil Wayne achililiambali Nas Big na Pac
Nini maoni yako?
UPDATES
Hii ndio full list ya rapa bora 50 wa muda wote kwa mujibu wa Billboard/Vibes
Kapewa au kashinda!?Lamar album yake ya mwaka jana nadhan imembeba sana, naona hata grammy kapewa
Mnyamwezi eti hayupo hata 10 bora, huu si mzaha jamani!?J cole hayupo hapo?????
Mzungu hawezi kukubali meseji zinazohatarisha ufalme wake.2pac nyimbo zake za kiharakati zimemfanya awepo hapo lasivyo ilitakiwa awe no 1
Pamoja na kubebwa kote miaka nenda rudi Beyoncé anasanda kwa mtoto kutoka Barbados, Rihanna a.k.a RiRi sio kwa mkwanja sio kwa mziki mzuri1. 2Pac
2 Snoop
3. Nas
4. 50cent
Jay Z na mkewe wanabebwa sana
Wana category yao hip hop singeli
1. Yuong thug
2. Lil pump
3. 6Xnine
4. Post Malone
5. Young Ma
Pamoja na kubebwa kote miaka nenda rudi Beyoncé anasanda kwa mtoto kutoka Barbados, Rihanna a.k.a RiRi sio kwa mkwanja sio kwa mziki mzuri
Anabebwa sana yule mama na hasa ile couple yao ndo inawabeba. Kwa mimi ngoma zake nzuri ni za kuhesabuHalafu hata sielewi anaimba nini huyu mama blue
Sidhani kama kuna msanii atamfikia au kumzidi 50 cent kwa kutengeneza hit songs nyingiKama hiyo List haijamjumuisha 50 CENTS huo ni ujinga. Hakuna rapper wa kumzidi 50 CENTS. Kuanzia Hit song hata Mashairi.
50 hajamzidi Drake kwa idadi ya Hit songs.Sidhani kama kuna msanii atamfikia au kumzidi 50 cent kwa kutengeneza hit songs nyingi
50 has better top hits.50 hajamzidi Drake kwa idadi ya Hit songs.
The massacre na Get rich or die trying zilikuwa moto wa kuotea mbali(undisputed fact(
Ila when it comes to hit songs Drake ni mtu mmbaya sana.
Halafu kuna Kanye west , ana hit songs kibao alizoshiriki kama rapper na producer.