Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The same applies to Drake ni vile haupo interseted na hawa New School rappers.50 has better top hits.
50 in his prime is something I don't think we'll ever see again.
Dude was literally everywhere, could not escape him.
Hili nalo nenoThe same applies to Drake ni vile haupo interseted na hawa New School rappers.
Hili nalo neno
Ila tukizungumzia top hits naona 50 cent kamzidi Drake
Tuseme 50 had a higher peak lakini Drake had a more consistent peak
Tushangae mkuu, halafu hata nikiangalia comments za wadau hapa sioni anaem mention mchizi... Cole yuko underrated sana asee!J cole hayupo hapo?????
Hapa ndo point yangu ilipo na yule mwamba 50 hata leo aseme anapiga shoo kokote pale anajaza watu kwa zile tu top hits zake za early 2000'sEnzi 50 akiwa kwenye ubora wake dunia nzima tuliimba nyimbo zake, club zote hata za madongo kuinama, kaloleni, Gezaulole zilipigwa nyimbo zake ila hakudumu sana akaanza kushuka
Drake anakimbiza vibaya sana kwenye digital platform, na toka ametoka bado wamoto vile vile
Sahihi kabisa na wanasemaga HOV anamfeel RiRi kwa hiyo Bey anasanda kwa mengiPamoja na kubebwa kote miaka nenda rudi Beyoncé anasanda kwa mtoto kutoka Barbados, Rihanna a.k.a RiRi sio kwa mkwanja sio kwa mziki mzuri
Hivi Jay Z anamfikia yule 50 cent wa early 2000's?
50 cent kila msumari aliokuwa anatoa ulikuwa wa moto jamaa aiiteka dunia
Beyonce anakalishwa na wengi basi tu kuhonga na mtandao may be...Sijui kwanini asee...au wanahonga?
Sasa Beyonce anaimba mavitu gani yale? Hiyo reinassance album sioni hata makeke yoyote
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila kwenye hii I do it for Hip Hop, Ludacris na Nas walimfanyia kitu mbaya kabisa bwana HOV, walimpoteza.Wanajamii wa hip hop wanakwambia hakuna era ambayo Jay Z aliitawala
Kilicho mbeba Jay Z ni mfanyabiashara mzuri sana, alijua kuzungusha vizuri hela alizopata na kumfanya aheshimike sana kwa kumiliki lebo kubwa na wasanii
Sio kama ni rapa mbaya, ni mzuri sana sema ndio vile mwenye hela huwa anaonekana kama hakosei vile na anajua kucheza na akili za watu
Mfano angalia nyimbo ya God Did jinsi verse yake ilivyo sifiwa kwasababu alipewa dk 4 kuflow kuhakikisha anawafunika kabisa Rick na Wayne walio rap kwa chini ya dk 2 kila mmoja
Angalia namna alivyo perform ki boss kabisa kwenye Grammy
Wenzake wameimba stejini lakini yeye kaandaa meza flani ya kijivuni alafu imezungukwa na wamba kadhaa halafu Jay anachana dk 4, at the end show ilikua kama ni yake tu
Hivi Ndio Hov huwa anafanya...... MIND GAME
Mbona ana hit nyingi pia!! Ana mixtape nyingi, album kali..Hata 50 bora hayupo huyu mwamba
Kendrick kuwa kwenye list ya greatest ni hype anayopewa na hizo mainstream media. Umaarufu alionao mchizi haulingani na kile ame/nafanya kwenye culture au uwezo alionao.Hype gani?? Kuna mtu yupo on low-key kama Lamar??
Ni Mkuu wa wilaya ya nyamagana mkuu.Kendrik Lamar ni nani?
Nilitaka kusema kwanza hawa jamaa huwa siwaelewi kabisaaaaaaaa.1. 2Pac
2 Snoop
3. Nas
4. 50cent
Jay Z na mkewe wanabebwa sana
Mimi naona ni kwa kuwa tu mziki ni kazi yake na sio rahisi sana mwanamuziki kustaafu muziki. Lakini naona angepumzika tu.Anabebwa sana yule mama na hasa ile couple yao ndo inawabeba. Kwa mimi ngoma zake nzuri ni za kuhesabu
Beyhive usiombe kukutana nao, hao ni zaid ya chawa wa mama inapokuja suala la B.Beyonce anakalishwa na wengi basi tu kuhonga na mtandao may be...
Na hao black wenyewe wamewatukuza mno nikiangaliaga party Jay Z anazohudhuria maceleb wenzie wanampaisha sana