Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Investments ziko real...lkn ana hulka ya kujipaisha sana!Investments na utajiri wa Jay viko wazi. Amewekeza kwenye public companies na ana deals nyingine ambazo ziko wazi. Angedanganya angeshanyooshewa vidole.
Dre namba ngapi?View attachment 2511141
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.
Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea
Here's the entire list
Billboard Top 50 Greatest Rappers list
50. Rick Ross
49.Rev Run
48. Melle Mel
47. MC Lyte
46. Jadakiss
45. Ice - T
44. Queen Latifah
43. Bun B
42. Redman
41. E-40
40. Dr.Dre
39. Ludacris
38. Gucci Mane
37. Common
36. Mos Def
35. Future
34. Chuck D
33. Busta
32. T.I
31. Lil Kim
30. Lauryn Hill
29. Pusha T
28. Black Thought
27.Q-Tip
26. Big Pun
25. Method Man
24. KRS-One
23. Kurtis Blow
22. Ghostface
21. DMX
20. Big Daddy Kane
19. Missy
18. Ice Cube
17. 50 Cent
16. Scarface
15. J.Cole
14. LL Cool J
13. Rakim
12. Andre 300
11. Kanye West
10. Nicki Minaj
9. Snoop
8. Drake
7. Lil Wayne
6. Biggie
5. Eminem
4. 2pac
3. Nas
2. Kendrick
1. Jay-Z
VIGEZO
From there, the teams took into account the following criteria, not in any particular order: body of work/achievements (charted singles/albums, gold/platinum certifications), cultural impact/influence (how the artist’s work fostered the genre’s evolution), longevity (years at the mic), lyrics (storytelling skills) and flow (vocal prowess).
Binafsi Sio muumini wa kuamini hizi list na tuzo kama kigezo kikuu cha ubora wa msanii lakini angalau ndio platform zinazo heshimika na hutumika kuleta mijadala zaidi
Kilicho nifurahisha ni angalau sasa Billboard wameanza kuuelewa ukubwa wa NAS kwenye hii game
Kilicho nishangaza ni Lamar kuwa juu ya Lil Wayne achililiambali Nas Big na Pac
Nini maoni yako?
UPDATES
Hii ndio full list ya rapa bora 50 wa muda wote kwa mujibu wa Billboard/Vibes
Sean Combs simuoni kwa list, jay z anamzidi Eminem?Kama minaj anamzidi EVE the 1st lady at R.Ryders siitaki hiyo list
Unamzungumzia Eminem? Stan Ina kelele gani?Tofauti na kupiga makelele na kubwa na beat huwa ana rap nini
Hivi lile " I DARE U" wamemba wao pia?Hao bone thugs nawaelewa sana na goma lao the crossroad
Ile bn ilikua design tu ya show. Pia Jay Z ni mfalme kwa sasa hio haina ubishi, Rap zote za siku hiz za jay z ni za kiboss, angalia nyimbo zake zote kuanzia 2019 utaona, ni style yake tu hio. Af pia khs God did dkk 4 wamempa kwa sababu nying, huo wimbo una neno 'god' na jay z miaka fln alikua anajiita 'Hov' kifupi cha jehova... na ukisikiza verse zake anaelezea tu sucess yake na mambo aloyafanya kwenye game, hio inaleta maana nzima ya lengo la hio singo ya God Did, ningeandika page ndef khs hili lkn kama unajua historia vzr ya mziki wa jay z na kama ulielewa verse zake basi usingeandika hayo uliandika hapo.
Honestly, DMX alitakiwa asikose kwenye top 5.Nini?!!!!!!! DMX number ngapi?!!!!!!!!!!
Pambaf!!!! Huyo ndo #1
Mleta Mada na Wanajamvi Lipi kundi Bora Hapa Tukiacha Publicity, Influence nkView attachment 2511141
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.
Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea
Here's the entire list
Billboard Top 50 Greatest Rappers list
50. Rick Ross
49.Rev Run
48. Melle Mel
47. MC Lyte
46. Jadakiss
45. Ice - T
44. Queen Latifah
43. Bun B
42. Redman
41. E-40
40. Dr.Dre
39. Ludacris
38. Gucci Mane
37. Common
36. Mos Def
35. Future
34. Chuck D
33. Busta
32. T.I
31. Lil Kim
30. Lauryn Hill
29. Pusha T
28. Black Thought
27.Q-Tip
26. Big Pun
25. Method Man
24. KRS-One
23. Kurtis Blow
22. Ghostface
21. DMX
20. Big Daddy Kane
19. Missy
18. Ice Cube
17. 50 Cent
16. Scarface
15. J.Cole
14. LL Cool J
13. Rakim
12. Andre 300
11. Kanye West
10. Nicki Minaj
9. Snoop
8. Drake
7. Lil Wayne
6. Biggie
5. Eminem
4. 2pac
3. Nas
2. Kendrick
1. Jay-Z
VIGEZO
From there, the teams took into account the following criteria, not in any particular order: body of work/achievements (charted singles/albums, gold/platinum certifications), cultural impact/influence (how the artist’s work fostered the genre’s evolution), longevity (years at the mic), lyrics (storytelling skills) and flow (vocal prowess).
Binafsi Sio muumini wa kuamini hizi list na tuzo kama kigezo kikuu cha ubora wa msanii lakini angalau ndio platform zinazo heshimika na hutumika kuleta mijadala zaidi
Kilicho nifurahisha ni angalau sasa Billboard wameanza kuuelewa ukubwa wa NAS kwenye hii game
Kilicho nishangaza ni Lamar kuwa juu ya Lil Wayne achililiambali Nas Big na Pac
Nini maoni yako?
UPDATES
Hii ndio full list ya rapa bora 50 wa muda wote kwa mujibu wa Billboard/Vibes
Kabisa aisee, album kadhaa zinaing9a bilboars mfululizo!!!Honestly, DMX alitakiwa asikose kwenye top 5.
Serious yan 50 nzima Meek anakosaje?Kama mwanangu Meek mill hayupo hapo ngoja niwaachie uzi wenu
Hana jambo uyo kapendelewa mpaka hapoDah Rossseyyyyy kala 50.. [emoji23]