Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Itakua wana ugomvi na MMG sio bure !!Serious yan 50 nzima Meek anakosaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua wana ugomvi na MMG sio bure !!Serious yan 50 nzima Meek anakosaje?
Dah !!! Basi mimi namkubali kinoma kutoka Notorious BIG , 2pc,Ngwair,Ranga , anafuata yeye!Hana jambo uyo kapendelewa mpaka hapo
Wangemchomoa hata RickRoz humoItakua wana ugomvi na MMG sio bure !!
Wewe unashabikia Majina walioyatengeneza Wasanii baada ya Matukio flan wala si ubora wa mziki wao.Dah !!! Basi mimi namkubali kinoma kutoka Notorious BIG , 2pc,Ngwair,Ranga , anafuata yeye!
Kwahiyo hata pac na B.i.G vifo vyao ndo vimewapa majina sana???Wewe unashabikia Majina walioyatengeneza Wasanii baada ya Matukio flan wala si ubora wa mziki wao.
Naona hapo umetaja maiti watupu, Vifo vya hao watu ni vikubwa kuliko mziki wao.
But kuhuau Ngwair sikupingi ni Mnyama.
Hakika. Na hao ndio nmewazungumzia haswa.Kwahiyo hata pac na B.i.G vifo vyao ndo vimewapa majina sana???
Sawa.Hakika. Na hao ndio nmewazungumzia haswa.
Kwa mtazamo wangu
1. 2PAC
2.Snoop dog
3.50 Cent
Bila pac kuwa juu hiyo list ni mchongo
Big NOAQIL QUBWA
NOWAMEZINGUA
Hujui kuwa watu wa jf wanamchukia sana mchizi [emoji1] washamponda sanaWatu tunatofautiana sana, naona wengi hawamwelewi Lamar lakini kiukweli Mimi binafsi huwa namkubali sana mnyawezi yule.
Ana flow za kisasa, ana rap kisasa
Video fulani za kinyamwezi , anajua kubadilika na na ideas mapya Kila ujio
usimfananishe Kendric na hao mumble rappersKendrick kuwa kwenye list ya greatest ni hype anayopewa na hizo mainstream media. Umaarufu alionao mchizi haulingani na kile ame/nafanya kwenye culture au uwezo alionao.
K Dot's just famous for being famous, huwezi kumlinganisha na watu kama Pac, Em au Nas as an mc.
He can rap, so does Young Ma, Young Thug, Lil Uzi Vert, 21 Savage na wengineo, lakini kumuweka kwenye list ya GTs ni matusi, ni kama ambavyo ni matusi kuwaweka hao niliowataja hapo.
Sidhani kama kuna msanii atamfikia au kumzidi 50 cent kwa kutengeneza hit songs nyingi
Zilikuwa ngoma kali lakini 50 alikuwa na kali zaidi (top hits)Lil wayne lollipop,a milli,john, six foot 7 foot, love me,mirror, got money,she will![]()
![]()
![]()
![]()
Cole yuko underrated sana kama vile kibongo bongo Nikki MbishiTushangae mkuu, halafu hata nikiangalia comments za wadau hapa sioni anaem mention mchizi... Cole yuko underrated sana asee!
Last para, iko obvious kuwa Cole ni zaidi ya Kendrick... Lyrically, message, flow, beat selection, metaphors, rhyme schemes n.k2pac ni king of hip hop. Hapa naongelea muziki wake plus influence yake on the black race through music.
Eminem ndie the greatest MC of all time. Hapa tunaachana na mambo ya influence, na hypes za gheto life. Ukiweka kipaza sauti, Eminem stands above the crowd of your favourite MCs.
Wanaosema Jay Z ndie king ni waongo au wamepofushwa na mapenzi yao kwa Hov. He's above average, but not the best. Jamaa ni mfanya biashara mzuri sana. Na hapa ndipo hype yake inapotokea.
Atokee mtu mmoja hapa, aniambie ni wimbo upi ambao Jay Z alimfunika Kanye West, kati ya nyimbo kibao walizoshirikiana, I'll wait! Jay Z anakuzwa tu na vitu vingine tofauti na Rap, na kimoja wapo ni couple yake na Beyonce!
Hizo hype ndizo zinafanya hadi Beyonce aonekane anajua kumzidi Alicia Keys.
Tukiongelea Lyrics, storytelling, freestyles, na mauzo ya albums, slim motherfuckin shaddy (eminem) beats them all!
NB: I think J Cole is better than Kendrick Lamar, au wanalingana. Nashangaa simuoni hapo kwenye hiyo list ya mchongo!
Nakubaliana na wewe mkuuKama minaj anamzidi EVE the 1st lady at R.Ryders siitaki hiyo list