Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

Dah !!! Basi mimi namkubali kinoma kutoka Notorious BIG , 2pc,Ngwair,Ranga , anafuata yeye!
Wewe unashabikia Majina walioyatengeneza Wasanii baada ya Matukio flan wala si ubora wa mziki wao.
Naona hapo umetaja maiti watupu, Vifo vya hao watu ni vikubwa kuliko mziki wao.
But kuhuau Ngwair sikupingi ni Mnyama.
 
Kwahiyo hata pac na B.i.G vifo vyao ndo vimewapa majina sana???
 
Watu tunatofautiana sana, naona wengi hawamwelewi Lamar lakini kiukweli Mimi binafsi huwa namkubali sana mnyawezi yule.

Ana flow za kisasa, ana rap kisasa
Video fulani za kinyamwezi , anajua kubadilika na na ideas mapya Kila ujio
Hujui kuwa watu wa jf wanamchukia sana mchizi [emoji1] washamponda sana
haya marudio tu
 
Kendrick kuwa kwenye list ya greatest ni hype anayopewa na hizo mainstream media. Umaarufu alionao mchizi haulingani na kile ame/nafanya kwenye culture au uwezo alionao.

K Dot's just famous for being famous, huwezi kumlinganisha na watu kama Pac, Em au Nas as an mc.

He can rap, so does Young Ma, Young Thug, Lil Uzi Vert, 21 Savage na wengineo, lakini kumuweka kwenye list ya GTs ni matusi, ni kama ambavyo ni matusi kuwaweka hao niliowataja hapo.
usimfananishe Kendric na hao mumble rappers
 
2pac ni king of hip hop. Hapa naongelea muziki wake plus influence yake on the black race through music.

Eminem ndie the greatest MC of all time. Hapa tunaachana na mambo ya influence, na hypes za gheto life. Ukiweka kipaza sauti, Eminem stands above the crowd of your favourite MCs.

Wanaosema Jay Z ndie king ni waongo au wamepofushwa na mapenzi yao kwa Hov. He's above average, but not the best. Jamaa ni mfanya biashara mzuri sana. Na hapa ndipo hype yake inapotokea.

Atokee mtu mmoja hapa, aniambie ni wimbo upi ambao Jay Z alimfunika Kanye West, kati ya nyimbo kibao walizoshirikiana, I'll wait! Jay Z anakuzwa tu na vitu vingine tofauti na Rap, na kimoja wapo ni couple yake na Beyonce!

Hizo hype ndizo zinafanya hadi Beyonce aonekane anajua kumzidi Alicia Keys.

Tukiongelea Lyrics, storytelling, freestyles, na mauzo ya albums, slim motherfuckin shaddy (eminem) beats them all!

NB: I think J Cole is better than Kendrick Lamar, au wanalingana. Nashangaa simuoni hapo kwenye hiyo list ya mchongo!
 
Lil wayne lollipop,a milli,john, six foot 7 foot, love me,mirror, got money
emoji383.png
,she will
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
Zilikuwa ngoma kali lakini 50 alikuwa na kali zaidi (top hits)

In Da Club
Many Men
21 Questions
Window Shopper
Wanksta
P.I.M.P
I Get Money
Ayo Technology
Disco Inferno
Candy Shop
Just a Lil Bit
Best Friend
Amusement Park
Baby By Me
Hustler's Ambition etc
 
Tukiongelea Lyrics, storytelling, freestyles, na mauzo ya albums, slim motherfuckin shaddy (eminem) beats them all!
!

Hapa umetoka nje ya mstari
Labda kwenye mauzo na freestyle
 
2pac ni king of hip hop. Hapa naongelea muziki wake plus influence yake on the black race through music.

Eminem ndie the greatest MC of all time. Hapa tunaachana na mambo ya influence, na hypes za gheto life. Ukiweka kipaza sauti, Eminem stands above the crowd of your favourite MCs.

Wanaosema Jay Z ndie king ni waongo au wamepofushwa na mapenzi yao kwa Hov. He's above average, but not the best. Jamaa ni mfanya biashara mzuri sana. Na hapa ndipo hype yake inapotokea.

Atokee mtu mmoja hapa, aniambie ni wimbo upi ambao Jay Z alimfunika Kanye West, kati ya nyimbo kibao walizoshirikiana, I'll wait! Jay Z anakuzwa tu na vitu vingine tofauti na Rap, na kimoja wapo ni couple yake na Beyonce!

Hizo hype ndizo zinafanya hadi Beyonce aonekane anajua kumzidi Alicia Keys.

Tukiongelea Lyrics, storytelling, freestyles, na mauzo ya albums, slim motherfuckin shaddy (eminem) beats them all!

NB: I think J Cole is better than Kendrick Lamar, au wanalingana. Nashangaa simuoni hapo kwenye hiyo list ya mchongo!
Last para, iko obvious kuwa Cole ni zaidi ya Kendrick... Lyrically, message, flow, beat selection, metaphors, rhyme schemes n.k

Na hii sio kusema kuwa Kendrick ni mbovu, hapana, jamaa ni mzuri... Ni story teller mzuri lakini kwenye hii angle Cole ni expert,
 
Back
Top Bottom