Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

JAY Z anakuwaje GOAT wakati muda bado unaendelea?
 
List za majarida ya kizungu kwenye tamaduni za mtu mweusi sio credible.

Hivi Mc kama Rakeem anaachaje kuwa Top ten?

Kuna wajinga wengine wanaitwa Rolling Stone walimuweka MJ wa 86 [ kama sijakosea[ katika list yao ya waimbaji bora wa muda wote
 
Sidhani kama kuna msanii atamfikia au kumzidi 50 cent kwa kutengeneza hit songs nyingi
50 hajamzidi Drake kwa idadi ya Hit songs.

The massacre na Get rich or die trying zilikuwa moto wa kuotea mbali(undisputed fact(

Ila when it comes to hit songs Drake ni mtu mmbaya sana.

Halafu kuna Kanye west , ana hit songs kibao alizoshiriki kama rapper na producer.
 
50 has better top hits.

50 in his prime is something I don't think we'll ever see again.

Dude was literally everywhere, could not escape him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…