Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

Kwangu mimi
1_lil wayne
2_50 cent
3_slim shady
4_biggie
5_2pac
6_jay z
 
Investments na utajiri wa Jay viko wazi. Amewekeza kwenye public companies na ana deals nyingine ambazo ziko wazi. Angedanganya angeshanyooshewa vidole.
Investments ziko real...lkn ana hulka ya kujipaisha sana!

Huwa ananyooshewa sana hivyo vidole

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Dre namba ngapi?

Huu ni utopolo
 
Nini?!!!!!!! DMX number ngapi?!!!!!!!!!!

Pambaf!!!! Huyo ndo #1
 

Mkuu kama unamkubali sana hov huwezi kunielewa na tutaishia kubishana sana tu

Jay hajapewa dk 4 kwasababu anaitwa HOV(hizo ni blah blah tu)
Wala ile set up ya performance yake Grammy haikuwa coincidence
Jamaa anajua sana kucheza na mind game....... which is not bad( huna haja ya kumtetea sana katika hili)
Jay Z cares more about FAME ndio maana hata wewe unakubaliana kwamba ana temple na waandaaji wa tuzo na majirida makubwa kuwekwa at the top pamoja na mkewe
Trust me mkuu haya mambo yana siasa nyingi kuliko tunavyodhania

Tunapozungumzia kutawala era hatumaanishi Jay hajawahi kutamba(ana grammy 24 ujue)
Enzi za kolabo yake na Kanye hiyo ilikua ni era ya Kanye West the guy was untouchable
 
Binafsi Nafurahishwa na,
1.Wiz Khalifa
2.T. I
3.J-Cole

Japo kiukweli Vichwa Halisi ni
1.Lil Wayne
2.Eminem
3.Drake

Ila hawa Waachwe tu kama walivyo
1. JayZ
2. Kanye West
3. Snoop Doggy

Na kuna Sifa Batili/Ushabiki.
1. 2 pac
2. B. I. G
3. Rick Rose
 
Mleta Mada na Wanajamvi Lipi kundi Bora Hapa Tukiacha Publicity, Influence nk

A
1.Wiz Khalifa
2.T. I
3.J-Cole

B
1.Lil Wayne
2.Eminem
3.Drake

C
1. JayZ
2. Kanye West
3. Snoop Doggy

D
1. 2 pac
2. B. I. G
3. Rick Rose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…