Billionaire wa kwanza mwanamke Afrika

Billionaire wa kwanza mwanamke Afrika

Kwameh

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
1,793
Reaction score
2,152
Isabel dos Santos

Age: 40 yrs

Net Worth:
$3.7 billion.

Investments: Mtoto wa kwanza wa José Eduardo dos Santos, Rais wa Jamhuri ya Angola toka 1979.

0813_isabel-dos-santos_390x22021.jpg

220px-Jos%C3%A9_Eduardo_dos_Santos_3.jpg
 
Zitakuwa Pesa za wizi hizo. Atuambie kama aliuza vitumbua au maandazi ndio akapata utajiri huo?
 
alipata kuisaidia ureno ilipokua katika mdorolo wa kiuchumi.
 
Ana biashara gani mpaka awe billionaire? Au u billionaire wake ni km ule wa Ridhiwan, billionaire ila kwa mgongo wa baba yake
 
Kha! Basi very soon tutasikia billionaire mtoto kutoka Tanzania akimiliki makampuni, ardhi na vyombo vya usafirishaji......
 
Hakuna chochote cha kujifunza kwa huyo sababu pesa ni ya kuwaibia wananchi.Tutajifunza kwa wale walio hustle tu
 
Kha! Basi very soon tutasikia billionaire mtoto kutoka Tanzania akimiliki makampuni, ardhi na vyombo vya usafirishaji......
Tunaye Salama Kikwete mmliki wa Simba Trust inayomiliki 50% ya shares za PAP
 
Ana biashara gani mpaka awe billionaire? Au u billionaire wake ni km ule wa Ridhiwan, billionaire ila kwa mgongo wa baba yake

Angola ina utajiri wa mafuta. Huyo mdada ana mkono mchafu ktk utajiri huo.
 
Tunaye Salama Kikwete mmliki wa Simba Trust inayomiliki 50% ya shares za PAP
Mpwa wangu MANI kuna swali juzi iliniuliza nikakwambia jibu lake lipo, kwenye ile thread ya Mpwa wetu BAK hapa naona kuna mwangaza kidogo, Mke wa Kigogo Mkubwa kabisa mwenye mapembe!! nadhani sina uhakika yaweza kuwa huyu???
 
Last edited by a moderator:
Isabel dos Santos

Age: 40 yrs

Net Worth:
$3.7 billion.

Investments: Mtoto wa kwanza wa José Eduardo dos Santos, Rais wa Jamhuri ya Angola toka 1979.

0813_isabel-dos-santos_390x22021.jpg

220px-Jos%C3%A9_Eduardo_dos_Santos_3.jpg

Sioni bilionea hapo..ni mwizionaire..
Yeye na ndugu zake na babake wanaplunder resources za Angola kama
hakuna kesho..hao wote ukoo wa panya.
Jamaa anajenga white elephants projects kila kukicha whole the
state goes begging to IMF na WB..
Na trend hii ya anguko la bei ya wese likiendelea ..
Wallah naambieni,another African failed state inakuja..
Tangu lini ukaona nchi ambayo a quarter of its populous
wanaishi capital city afu kulikobaki kote ni ufukara na traumatic war memories na desperateness tu..
Ajifunze kwa kina Mobutu,Gadafi na Sani Abacha..asepe tu akapumzike..
 
Back
Top Bottom