Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio billionare bali ni mwizi.......
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Prof Anna Tibaijuka
Tunaye Salama Kikwete mmliki wa Simba Trust inayomiliki 50% ya shares za PAPKha! Basi very soon tutasikia billionaire mtoto kutoka Tanzania akimiliki makampuni, ardhi na vyombo vya usafirishaji......
Ana biashara gani mpaka awe billionaire? Au u billionaire wake ni km ule wa Ridhiwan, billionaire ila kwa mgongo wa baba yake
Mpwa wangu MANI kuna swali juzi iliniuliza nikakwambia jibu lake lipo, kwenye ile thread ya Mpwa wetu BAK hapa naona kuna mwangaza kidogo, Mke wa Kigogo Mkubwa kabisa mwenye mapembe!! nadhani sina uhakika yaweza kuwa huyu???Tunaye Salama Kikwete mmliki wa Simba Trust inayomiliki 50% ya shares za PAP
Ndani ya FEW YEARS To come RIDHIWAN Atakuwa BILLIONEA Mkubwa!Lets keep sleepingWABALLA Inc said::cheer2:
Isabel dos Santos
Age: 40 yrs
Net Worth: $3.7 billion.
Investments: Mtoto wa kwanza wa José Eduardo dos Santos, Rais wa Jamhuri ya Angola toka 1979.
![]()
![]()