Kuna dada mmoja huko aliandika hatununui na hivo vitu vya Danube, kumcheki picha zake kwenye profile dah hadi unajisikia huruma
Kuna habari zingine ni za miemko tuu na umbea umbea na uchonganishi. Hakuna siku wanawaza positive. Wanawake na waschana wengi wa Tanzania ni empty brain wanafikiria matakoni.Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .
Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi
All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
Kuwa makini na unachoandika, heading kubwa ndani utumbo tuHuko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .
Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi
All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
Duh.MTOA POST HUWA ANA WIVU SANA KWA ZARI...AFU HAO WAKESHA INSTA WENGI WAO NI KULA KULALA TU HATA CHUPI WANANUNULIWA NA WAZAZI WAO.
Ndio maana da'Mange alipowaomba wamchangie GoFundMe ili ajikimu na familia wote waliingia mitini. Ilibidi da'Mange afunge ile akaunti.Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!
And gayish.Insta Iko Very Girlish
Namkumbuka malkia wa insta na zile nywele za twende kilioni dahHahahaa kuna hawa wanajiita malkia huko insta aisee wachovu balaa,kuna mmoja aliumbuka picha zake halisi daah ndo maana hawashtakiwi maana watajaza magereza tu dhamana hawana
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .
Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi
All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
sasa mbona huyo bilionea mwenye DANUBE yuko Insta........au na yeye hana uwezo wa kuingia DANUBEAcheni upumbavu,wenye uwezo wa kuingia shoping DANUBE hawako insta ,unasusa wakati huna uwezo!Ni sawa na uswahilini kususia bucha
Sisi tutanunua tu hizo bidhaa, mwenye wivu n.a. chuki binafsi naZari the boss lady jinyonge tu badamu bamwagikeHebu tutolee ujinga wako na madharau kwetu, hao unawaamini mbona hawakuikoa uchumi supermarket hadi ikafungwa? Au pia wateje ndo sie wapiga domo wa insta? Wote tumefulia tu hayo makochi yao wapeleke Uganda
Mkuu mwenyewe yupo instagram na anapenda ushilawadu vilevile
Word.Watu wenye uwezo wa kununua hizo bidhaa za huko hawana hata muda wa kujadili huo upuuzi na wengi wao hawapo Instagram.
Hao hawana uwezo hata wa kununua sahani za plastic!!
Wale wa povuuu chalii, Zari the boss lady oyeehsasa mbona huyo bilionea mwenye DANUBE yuko Insta........au na yeye hana uwezo wa kuingia DANUBE