Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hahahaa kuna hawa wanajiita malkia huko insta aisee wachovu balaa,kuna mmoja aliumbuka picha zake halisi daah ndo maana hawashtakiwi maana watajaza magereza tu dhamana hawana
Kuna dada mmoja huko aliandika hatununui na hivo vitu vya Danube, kumcheki picha zake kwenye profile dah hadi unajisikia huruma