Billionea wa Danube ajuta kuwekeza Tanzania

Hahahaa kuna hawa wanajiita malkia huko insta aisee wachovu balaa,kuna mmoja aliumbuka picha zake halisi daah ndo maana hawashtakiwi maana watajaza magereza tu dhamana hawana
Kuna dada mmoja huko aliandika hatununui na hivo vitu vya Danube, kumcheki picha zake kwenye profile dah hadi unajisikia huruma
 
Mmmmh embu tulia ulete uzi wako vizuri... kama umekurupuka vile,,,,, by ze way i miss u!!
 
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .

Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi

All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
Kuna habari zingine ni za miemko tuu na umbea umbea na uchonganishi. Hakuna siku wanawaza positive. Wanawake na waschana wengi wa Tanzania ni empty brain wanafikiria matakoni.

Mtoa post acha wivu na umbea husiokuwa na maana..think beyond.....!!!!
 
29b9db34c863881b30c62a29c4ae5f6c.jpg
 
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .

Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi

All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg
Kuwa makini na unachoandika, heading kubwa ndani utumbo tu
 
Hahahaa kuna hawa wanajiita malkia huko insta aisee wachovu balaa,kuna mmoja aliumbuka picha zake halisi daah ndo maana hawashtakiwi maana watajaza magereza tu dhamana hawana
Namkumbuka malkia wa insta na zile nywele za twende kilioni dah
 
Wewe tunakujua una beef na Zari, fanya mazoezi upunguze mwili haya ya Zari hutayaweza kamwe. Wewe unapuga kelele hapa Jf mwenzio alishavuta mpunga
 
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana kibali cha kufanya kazi bongo pia anahusika na video ya ngono .

Watanzania hao wameenda kwenye page yake wakiwa na kampeni ya kutonunua pia vitu vya danube billionea huyo ameonekana amechanganyikiwa amewajibu hivi

All this can be communicated on emails and not on my personal insta. U wud not like if some one writes like this on your wall. U people r educated so thats what i can tell you. Thankyour for your understndg

Hao mashabiki wa INSTA n MOBETO wote hawana uwezo w kununua chochote kwenye maduka ya DANUBE.
 
Mange Kimambi ndiyo kinara wa kumtukana Zari hadi kafungua account fake anaiita east africahotseat huko ndo anawashawish watu wapost account ya danube kuwa hawamtaki Zari kuwa balozi wa Danube.
 
Acheni upumbavu,wenye uwezo wa kuingia shoping DANUBE hawako insta ,unasusa wakati huna uwezo!Ni sawa na uswahilini kususia bucha
sasa mbona huyo bilionea mwenye DANUBE yuko Insta........au na yeye hana uwezo wa kuingia DANUBE
 
Hebu tutolee ujinga wako na madharau kwetu, hao unawaamini mbona hawakuikoa uchumi supermarket hadi ikafungwa? Au pia wateje ndo sie wapiga domo wa insta? Wote tumefulia tu hayo makochi yao wapeleke Uganda

Mkuu mwenyewe yupo instagram na anapenda ushilawadu vilevile
Sisi tutanunua tu hizo bidhaa, mwenye wivu n.a. chuki binafsi naZari the boss lady jinyonge tu badamu bamwagike
 
Hao watu wa instagram...wanawwza kununua fanicha za milioni kumi?

Bahati mbaya ukiacha washNgaaji wateja hAlisi hawajui insta
 
Back
Top Bottom