Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Gari kali sanaWakuu
Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi View attachment 3153548
View attachment 3153555
Ngoja aje billnass atakujibu.Wa nauliza Billnass amefuata nini kwa Nandy?
🤭Wtz msitishike kabisa izo drama tunajua nandy kajinunulia billinas hana pesa izo
iyo chuma ni bei gani mkuu ya moto sana?Wtz msitishike kabisa izo drama tunajua nandy kajinunulia billinas hana pesa izo
Muulize doto magari beiiyo chuma ni bei gani mkuu ya moto sana?
Umeokoa wangapi mpaka sasa au ndio mnaiba nguo ili mje mtuuzie ukuTuko kwenye uokoaji kwanzakariakoo
Nimeokoa wawiliUmeokoa wangapi mpaka sasa au ndio mnaiba nguo ili mje mtuuzie uku
Kwaiyo anamaanisha yeye na nandy walichumia juani Kwa pamoja?Wakuu
Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi View attachment 3153548
View attachment 3153555
MnavitukoMmmh ngoja nibadili brand kabla aijawekwa kwenye meli isha kua gari ya kidada hii
Inaonekana unamjua sana ?Sasa kwa pesa gani alionayo billinas ya kununua ilo gar wakat analoshwa tu pale