GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Billnass hana Hela ya Kumpa / Kumhonga Nandy na anachokifanya Nandy ni Kumsitiri tu Mumewe kwa Kumuinua Kiuchumi.Hii kitu kuna kaisema kule insta kuhusu Nandy na sio mtu mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Billnass hana Hela ya Kumpa / Kumhonga Nandy na anachokifanya Nandy ni Kumsitiri tu Mumewe kwa Kumuinua Kiuchumi.Hii kitu kuna kaisema kule insta kuhusu Nandy na sio mtu mmoja
Nilikuwa natafuta hii comment nilipomaliza kusikiliza clip husika."ONE OF MY DREAM CAR", kwanini mtu kama Nandy asiwe na publicist wa kumsaidia vitu kama hivi?
Mgonjwa yule!Mziki una hela nowadays, we hujiulizi kwa nn diamond alivyofanya kolabo na derulo wiki 2 mbele akadai anataka kuwa tajiri namba 1 duniani
Zilimchanganya zile mana zilkuwa zinatiririka tuMgonjwa yule!
Mgonjwa wa nn!?Mgonjwa yule!
Alifanyaje huyo shamim!?Usitaman maisha ya mtu mtandaoni nikikumbuka yule dada shamim nabakigi kuangalia tu
Muziki unalipa hivi sasa, ujio wa digital platforms, wanapata pesa.
Kweli mkuu.Hao hata wakioneshwa earning za watu kwenye hizo digital platforms bado watabisha!
Wasichojua kuna wasanii wa kawaida sana kwenye commedy youtube peke yake yake wanaingiza si chini ya mil 10 kwa mwezi, sasa sembuse kwa wasanii ambao wana kazi kibao kila platform?