Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sijajua aina gani mtaalamu, shusha nondoChuma kali sana
Bei yakeChuma kali sana
Defender S 110 iyo boss, ya 2020 kuja juu.Bado sijajua aina gani mtaalamu, shusha nondo
Unalipa bei gani? Hawa wasanii ukiniambia wanatumika kama madodoki ya mafisadi ntakuelewa ila usiniambie mziki unalipa sijui blaah blaah.Muziki unalipa hivi sasa, ujio wa digital platforms, wanapata pesa.
Af ndio mnasema uyo bwana vidole ndio ana uwezo wa kununua
😂😂😂😂😂😂😂 Kijana anafugwa halafu leo hii aseme ametoa Defender 110 ya 2023 kama zawadi kwa mkewe. Hilo halikubaliki duniani wala mbinguni! Maisha sio rahisi hivyoWenye Akili na Watoto wa Mjini tunajua kuwa Billnass hana Hela ya kumzidi Nandy (Mkewe) na kama haitoshi tunajua kuwa Nandy anamuweka Mjini Mumewe (Billnass) kutokana na Utajiri alionao ambao kwa 75% unatokana na Mtu Mmoja (namhifadhi) anayepita nae (tafadhali elewa neno anayepita nae) na anachokifanya Nandy ni kumuinua tu Kiuchumi na Kiumaarufu Billanass kwa Matukio kama haya ili Watu tujue kuwa Nenga (Billnass) ana Hela wakati nae Analelewa tu na hata Vijana wenzake wa Kwao pale Kinondoni wanalijua hilo sema Wanauchuna tu.
Imeisha hiyo......!!!!!!!
Unawaamini wasanii?Af ndio mnasema uyo bwana vidole ndio ana uwezo wa kununua
Msanii na Mwanasiasa sikai nikawaamini.😂😂😂😂😂😂😂 Kijana anafugwa halafu leo hii aseme ametoa Defender 110 ya 2023 kama zawadi kwa mkewe. Hilo halikubaliki duniani wala mbinguni! Maisha sio rahisi hivyo
Mimi peke yangu humu jf ndio naweza nunua ilo garSiwajui kiundani ila nipende kusema tu hio hela hawana hata wakichanga wote wawili 🤣! Ununue LC300 400M kisha ndani ya miezi mitatu ijayo ununue LR ya 400M?
Kwa chanzo gani cha mapato au hio Nandy Festival inalipa kiasi hicho? Waseme tu gari wamepewa wazitangaze ila za tajiri flani wa showroom. Sababu Billnass nae ni dalali wa magari.
Hapana hapanaUnawaamini wasanii?
Kama Nandy muziki unamlipa, wanafanya matangazo ya bidhaa kwenye social medias accounts zao, youtube wanalipwa, shows wanalipwa za nje na ndani, siku hizi spotify, boomplay n.k wanalipwa...Unalipa bei gani? Hawa wasanii ukiniambia wanatumika kama madodoki ya mafisadi ntakuelewa ila usiniambie mziki unalipa sijui blaah blaah.
Wapo wasanii kibao kina Rich Mavoko mbona hawafanyi hizo vurugu za kununua magari nao si wanaimba?
Wasanii wenyewe ndo hawa wanashindana namba za kwny youtube. Platforms zinazolipa vzr, wasanii wa Tz hawafanyi vzr kwny hizo platforms(spotify, deezer, apple music, amazon n.k) Pesa ya youtube ni ya kawaida sana.
Analiona ilo gari kama vits kila mtu anaweza kopa akanunua😂😂😂😂😂😂😂 Kijana anafugwa halafu leo hii aseme ametoa Defender 110 ya 2023 kama zawadi kwa mkewe. Hilo halikubaliki duniani wala mbinguni! Maisha sio rahisi hivyo
Punguza uchawa kidogo sema ukweli tyKama Nandy muziki unamlipa, wanafanya matangazo ya bidhaa kwenye social medias accounts zao, youtube wanalipwa, shows wanalipwa za nje na ndani, siku hizi spotify, boomplay n.k wanalipwa...
Bado wana biashara zao walizoanzisha tokana na muziki, kwa msanii A list kama Nandy anaingiza pesa hizo...
Kwa Nandy sawa ana mianya ya hela toka zama za ruge aliachwa vizuri na rangi ya mtume wakubwa lazma watakuwa wanajipigia ila Bilnass hio hela ya kununua Defender 110 ya 2023 hana. Labda kama kapewa kadi akalipie na mkewe🤣.Kama Nandy muziki unamlipa, wanafanya matangazo ya bidhaa kwenye social medias accounts zao, youtube wanalipwa, shows wanalipwa za nje na ndani, siku hizi spotify, boomplay n.k wanalipwa...
Bado wana biashara zao walizoanzisha tokana na muziki, kwa msanii A list kama Nandy anaingiza pesa hizo...
Watu wanafanya mchezo na kitu kinachoitwa 500 Millions😁!Analiona ilo gari kama vits kila mtu anaweza kopa akanunua
afya ya damu na mifupa na uzao wao..hadi tuone video kama captain ruge alivaa goziNa Ikawe Kheri Kwao,,Muumba Aendelee Kuwajalia, Afya Ya Mifupa,,Damu Na Nyama,,Wao Na Uzao Wao.