Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Wapige pichaNimeokoa wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapige pichaNimeokoa wawili
Ahahaa ndioInaonekana unamjua sana ?
Ili iwejeWapige picha
Jambo Afande ....Wtz msitishike kabisa izo drama tunajua nandy kajinunulia billinas hana pesa izo
Muziki unalipa hivi sasa, ujio wa digital platforms, wanapata pesa.Defender 2024 🔥🔥. Hili ni tangazo, sio nandy wala billnass mwenye uwezo wa kununua iyo chuma.
Note: wasanii wa bongo wenye hela ni wachache sana, wengi drama nyingi.
Jambo sirJambo Afande ....
Wenye Akili na Watoto wa Mjini tunajua kuwa Billnass hana Hela ya kumzidi Nandy (Mkewe) na kama haitoshi tunajua kuwa Nandy anamuweka Mjini Mumewe (Billnass) kutokana na Utajiri alionao ambao kwa 75% unatokana na Mtu Mmoja (namhifadhi) anayepita nae (tafadhali elewa neno anayepita nae) na anachokifanya Nandy ni kumuinua tu Kiuchumi na Kiumaarufu Billanass kwa Matukio kama haya ili Watu tujue kuwa Nenga (Billnass) ana Hela wakati nae Analelewa tu na hata Vijana wenzake wa Kwao pale Kinondoni wanalijua hilo sema Wanauchuna tu.Wakuu
Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi View attachment 3153548
View attachment 3153555
Wasanii wenyewe ndo hawa wanashindana namba za kwny youtube. Platforms zinazolipa vzr, wasanii wa Tz hawafanyi vzr kwny hizo platforms(spotify, deezer, apple music, amazon n.k) Pesa ya youtube ni ya kawaida sana.Muziki unalipa hivi sasa, ujio wa digital platforms, wanapata pesa.
Kumbuka hao ni wasanii ambao ni A list.. wana miradi pia... Wana shows pia..Wasanii wenyewe ndo hawa wanashindana namba za kwny youtube. Platforms zinazolipa vzr, wasanii wa Tz hawafanyi vzr kwny hizo platforms(spotify, deezer, apple music, amazon n.k) Pesa ya youtube ni ya kawaida sana.
umeingiza shingapi kuyajua yote hayoWenye Akili na Watoto wa Mjini tunajua kuwa Billnass hana Hela ya kumzidi Nandy (Mkewe) na kama haitoshi tunajua kuwa Nandy anamuweka Mjini Mumewe (Billnass) kutokana na Utajiri alionao ambao kwa 75% unatokana na Mtu Mmoja (namhifadhi) anayepita nae (tafadhali elewa neno anayepita nae) na anachokifanya Nandy ni kumuinua tu Kiuchumi na Kiumaarufu Billanass kwa Matukio kama haya ili Watu tujue kuwa Nenga (Billnass) ana Hela wakati nae Analelewa tu na hata Vijana wenzake wa Kwao pale Kinondoni wanalijua hilo sema Wanauchuna tu.
Imeisha hiyo......!!!!!!!
400Miyo chuma ni bei gani mkuu ya moto sana?