Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

Watu wanafanya mchezo na kitu kinachoitwa 500 Millions😁!

Ili uchezee hela hio you must likely have 5-10 times more of that amount. Hamna mtu mwenye million 500 yote ataiweka kwenye gari halafu aanze upya.
Watanzania maisha yetu ya maigizo mimi nina wasiwasi mpaka na nyumba anayoishi ila ngoja tuone
 
😂😂😂😂😂😂😂 Kijana anafugwa halafu leo hii aseme ametoa Defender 110 ya 2023 kama zawadi kwa mkewe. Hilo halikubaliki duniani wala mbinguni! Maisha sio rahisi hivyo
Hata mbinguni nako halikubaliki? 🤣🤣😜
 
Wakuu

Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023

Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao

Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi View attachment 3153548
View attachment 3153555
Billnas kachoka,gari la milioni 400 atoe wapi?

Wasani ni vichaa

Halafu they think people will buy that bullshit.
 
Wasanii wenyewe ndo hawa wanashindana namba za kwny youtube. Platforms zinazolipa vzr, wasanii wa Tz hawafanyi vzr kwny hizo platforms(spotify, deezer, apple music, amazon n.k) Pesa ya youtube ni ya kawaida sana.
Wew youtube unalipwa kias gan
 
Wenye Akili na Watoto wa Mjini tunajua kuwa Billnass hana Hela ya kumzidi Nandy (Mkewe) na kama haitoshi tunajua kuwa Nandy anamuweka Mjini Mumewe (Billnass) kutokana na Utajiri alionao ambao kwa 75% unatokana na Mtu Mmoja (namhifadhi) anayepita nae (tafadhali elewa neno anayepita nae) na anachokifanya Nandy ni kumuinua tu Kiuchumi na Kiumaarufu Billanass kwa Matukio kama haya ili Watu tujue kuwa Nenga (Billnass) ana Hela wakati nae Analelewa tu na hata Vijana wenzake wa Kwao pale Kinondoni wanalijua hilo sema Wanauchuna tu.

Imeisha hiyo......!!!!!!!
Hii kitu kuna kaisema kule insta kuhusu Nandy na sio mtu mmoja
 
Back
Top Bottom