Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

Muziki unalipa hivi sasa, ujio wa digital platforms, wanapata pesa.

Hao hata wakioneshwa earning za watu kwenye hizo digital platforms bado watabisha!

Wasichojua kuna wasanii wa kawaida sana kwenye commedy youtube peke yake yake wanaingiza si chini ya mil 10 kwa mwezi, sasa sembuse kwa wasanii ambao wana kazi kibao kila platform?
 
Kweli mkuu.
 
Wabongo bado wanadhani Music wa sasa unauzwa kwenye cassette tapes kama zamani!
Now days watu Wana Piga hela kimya kimya na hawasemi kupitia midia platforms mbali mbali
Sishangai hiyo hela ni ndogo sana
Kwa mtu yupo serious na kazi!

Wabongo punguzeni wivu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…