Kiongozi unaangalia we niwapi unapopata huduma nzuri zaidi na kwa wakati sahihi na ndio maana kabla hujafanya maamuzi unatakiwa ujiridhishe kwanza ndio maana Huwa tunakuelimisha ili ufanye chaguo sahihi.Sasa ikija hii Bima ya afya kwa wote itakuwaje au mta merge na nhif?
Nilitaka kujua kwamba ikija bima ya afya kwa wote ,nyinyi mtaendelea kubaki na kucompete na hiyo nhif au watafanya kama walivyofanya mifuko ya hifadhi ya jamii kwa kuingunisha yote na kubaki na miwili tu.? Nimekuuliza kwa kuwa wewe ni mdau wa bima lazima mtakuwa mnashiriki kwenye vikao vinavyoendelea.Kiongozi unaangalia we niwapi unapopata huduma nzuri zaidi na kwa wakati sahihi na ndio maana kabla hujafanya maamuzi unatakiwa ujiridhishe kwanza ndio maana Huwa tunakuelimisha ili ufanye chaguo sahihi.
Maana nyepesi ya bima ya afyaJe nisimpo umwa kwamwaja nzima mnaweza nirejeshea kias chochote au hata 40 % ya mchango wangu
Mkuu unajitahidi sana kuelezea ila sijui kasumba tuliyoumbiwa tu.Humu siwezi kuattach picha walionitafuta kwa hiyo namba walielewa vizuri tu, na ipo watsap. Kama ni muhitaji kweli utanitafuta
Kwa kweliUpigiwe tena!!?
Futa haya maneno sasa "Karibuni sana, kwa anayehitaji maelezo zaidi unakaribishwa kuuliza na nipo hapa kwaajili ya kuwajibu wote."
ungetoa ufafanuzi unaoeleweka hapa ingesaidia kupunguza maswali ila naona unasisitiza tu upigiwe kwani haiwezekani au ni lazima mpaka upigiwe ndiyo utoe maelezo.Watu humu hawasomi msg zilizotangulia, wakati kila kitu nimefafanua kwa uzuri kabisa, na namba ya simu nimetoa, lkn mtu anataka aelezewe kila anachotaka kufahamu humu, kama kweli ni muhitaji utakuja inbox kwa namba niliyoitoa hapo, mi nitakupigia nitakutumia taarifa zote watsap utazipitia kwa uzuri, ukinihitaji nije kufafanulie zaidi nipo tayari, sitaki mtu uwe kama unanunua matunda tu, unatakiwa ueleww ili unapoamua kufanya maamuzi ufanye kwa usahili kabisa.
Kama huna Imani karibu ofisini kwetu, ukifika nipigie na tutaonana tutaongea vizuri kabisa.
Ungeweka chart nadhani ingesaidia zaidi, aama utoe maelezo ya kina kwa vifurushi vyote, other wise marketing strategy yako itakwama.Hii matibabu yake ni hapa tz tu, kimatatifa inabidi unipe umri wake nikupe gharama kamili ambazo zipo kwenye daraja nne, Kisha wewe utaangalia lipi lipo ndani ya bajeti yako.
Kwa ufafanuzi vizuri na zaidi nicheki kupitia namba niliyoitoa hapo
Inategemea na package uliyonunua na ndio maana nimewaambia zipo katika levels tofauti tofauti mteja unalipia kulingana na bajeti yako ambapo zipo zinazoishia level ya 1-4 ambapo gharama zake zinatofautiana kuanzia level ya kwanza Hadi hiyo yanneOUT patient kwa mwaka hutakiwi kuzidi milioni 2
Ambapo ukipiga MRI 2 tu unakuwa unakaribia maliza
Kwa hitimisho ni kuwa bado Jubilee ni ghali sana kuliko NHIFInategemea na package uliyonunua na ndio maana nimewaambia zipo katika levels tofauti tofauti mteja unalipia kulingana na bajeti yako ambapo zipo zinazoishia level ya 1-4 ambapo gharama zake zinatofautiana kuanzia level ya kwanza Hadi hiyo yanne
Na kuna yenye madaraja matano pia gharama zinatofautiana kwahyo ni wewe kuangalia uhitaji wako ni upi hizo zote unapata matibabu ndani na nje ya nchi katika hospitali zote Bila ya usumbufu wowote.
Kwahyo ni wewe kuangalia bajeti yako inatoshea wapi, na ndio maana nimesema kama muhitaji piga namba hiyo hapo ama unaweza fika ofisini kwetu na nikakupa maelezo yote kwa kirefu zaidi.
Karibuni sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kweli lkn kwa ubora tupo vizuri zaidi na inakupa uwanda Mpana zaidi wa kupata huduma popote utakapoenda.Kwa hitimisho ni kuwa bado Jubilee ni ghali sana kuliko NHIF
Sababu nimejaribu angalia outpatient ni ndogo sana 1.5mil max kwa mwaka ni ndogo sana.Hiyo ni kweli lkn kwa ubora tupo vizuri zaidi na inakupa uwanda Mpana zaidi wa kupata huduma popote utakapoenda.
Kwahyo ni wewe mwenyewe kujiangalia kipi Bora zaidi unachohitaji kwa ajili yako na familia yako.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app