Inategemea na package uliyonunua na ndio maana nimewaambia zipo katika levels tofauti tofauti mteja unalipia kulingana na bajeti yako ambapo zipo zinazoishia level ya 1-4 ambapo gharama zake zinatofautiana kuanzia level ya kwanza Hadi hiyo yanne
Na kuna yenye madaraja matano pia gharama zinatofautiana kwahyo ni wewe kuangalia uhitaji wako ni upi hizo zote unapata matibabu ndani na nje ya nchi katika hospitali zote Bila ya usumbufu wowote.
Kwahyo ni wewe kuangalia bajeti yako inatoshea wapi, na ndio maana nimesema kama muhitaji piga namba hiyo hapo ama unaweza fika ofisini kwetu na nikakupa maelezo yote kwa kirefu zaidi.
Karibuni sana
Sent from my Infinix PR652B using
JamiiForums mobile app