Baba Nla
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 772
- 2,505
Yani mimi naona kwa statement hiyo wanataka wote tuwe na bima either NHIF au CHF ambapo kwa NHIF ina package zake na CHF ni elfu 30 iliyoboreshwa, ko so kwamba watatupa bure bima, bali watatuhimiza tukate bima...Mimi sitaki siasa sio mwanasiasa ila hiyo statement imekaa kisiasasiasa. Mwanasiasa mjanja kikanjanja sana.
..."Kuimarisha Mfumo wa Bima ya Afya Nchini. Ikiwemo Mifuko ya Bima za Afya (NHIF & ICHF) Ili kufikia lengo la serikali la kuwa na Bima ya Afya kwa wananchi wote". ...
Haisemi clear lini na wapi. Hilo lengo la serikali ni lini? Viability
Mtazamo tuu