Bima ya afya kwa wote imetajwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025

Yani mimi naona kwa statement hiyo wanataka wote tuwe na bima either NHIF au CHF ambapo kwa NHIF ina package zake na CHF ni elfu 30 iliyoboreshwa, ko so kwamba watatupa bure bima, bali watatuhimiza tukate bima...
Mtazamo tuu
 
My Queen kumbe ulivyopotea ulikwenda library kupekua ?
 
Tulia upate bima kjana kelele za nini
 
My Queen kumbe ulivyopotea ulikwenda library kupekua ? Hahaaaa! Nilikumiss sana!
Hahaaa!!
Nilikumiss 😂. Karibu tuijenge nchi yetu hasa kwa ndg zetu wasio na uwezo wa kuchangia Bima Binafsi.

Queen Esther
 
Yani mimi naona kwa statement hiyo wanataka wote tuwe na bima either NHIF au CHF ambapo kwa NHIF ina package zake na CHF ni elfu 30 iliyoboreshwa, ko so kwamba watatupa bure bima, bali watatuhimiza tukate bima...
Mtazamo tuu
Vyovyote itakavyokuwa muhimu kuwa na Bima ya Afya! Iwe Private au Public! Iwe kwa Formal Sector au Informal Sector. Kumbuka watu wote hawaugui siku moja.

Queen Esther
 
Yaan uweke kwenye ilani huku haujui utaitekeleza vipi?

Mnapenda namba lakini hamjui hesabu.

Ukiangalia namna hizi ilani zetu zinavyoandaliwa,ni upuuzi mtu.

Ukiisoma hii ya CCM hata ile ya CHADEMA unabaki kushangaa tu.
Ilani sio Biblia au Quran!
Queen Esther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…