Bima ya Afya kwa wote inakuja na sheria kali

Bima ya Afya kwa wote inakuja na sheria kali

Hii bima imalenga wakina nani haswa?
1.wasio na bima kabisa
2.yeyote hata uwe na bima nyingine kama NHIF nk.
3.watu wa kipato cha chini?
4. Watu wa kipato cha kati?
5.watu wa kipato cha juu?

Yan malengo ni nini haswa? Wameona nn kwa hizo bima nyingine?

Kama length nikusaidia watu wa kipato cha chini? Wakumbuke kua kuna watu kila milo mitatu tu kwa siku ni shida. Asa imagine mtu hunapesa ya kulipia unafungwa na ukimaliza kifungo unakua huna tena pesa yakulipia unafungwa.... yan bado sijaelewa
 
Back
Top Bottom