Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

Mnasema bima kwa wote mbona ndugu zetu bado wanalipa pesa tena nyingi kwa Afya! Wanatoa card za bima bure?
 
Wakikopa waseme pia Rais Samia amekopa XX amount of money kutoka...!!
 
Waziri Ummy fuatilia hili
iri
 
Kazi iendelee
 
Maneno na vitendo ni vitu viwili tofauti tusubiri tuone vimekamilika kwanza ndio tupongeze, mpaka 2030 mbona ni mbali sana !!?? Bandugu tusubiri tutasifu tu muda ukifika .
 
Serikali igharamie miundombinu,mishahara,utawala,wataalamu.wadau wameshatoa Maoni kwamba kila mwananchi akitoe elfu 5,000 kwa mwaka tutapata Trilioni 3 zinatosha Sana kwa kila mtu kuwa na bima bila mzigo mkubwa kwa.serikali.
 
Wazo zuri sana mkuu
 
Tanzania iko salama sana chini ya Rais Samia
 
Hela ndogo sana ukilinganisha na zile ambazo wanakwapuaga!
Kwa hesabu za Tozo tu hio pesa ni ya miezi 6 tu ya Tozo za miamala
 
Hela ndogo sana ukilinganisha na zile ambazo wanakwapuaga!
Kwa hesabu za Tozo tu hio pesa ni ya miezi 6 tu ya Tozo za miamala
Actually tozo ingeenda kwenye universal health care usingesikia watu wanalalamika hata kidogo. Bahati mbaya wanakusanya, then wachche wenye midomo mipana wanazitafuna.
 
Actually tozo ingeenda kwenye universal health care usingesikia watu wanalalamika hata kidogo. Bahati mbaya wanakusanya, then wachche wenye midomo mipana wanazitafuna.
Bwana Lameki anasomeshea vijana wake Feza Boyz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…