Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

We chawa Acha umataga,Raisi ametoa wapi hela?
Inatakiwa itamkwe kuwa Serikali imetoa (ikiwa na maana kuwa wananchi wametoa kupitia kodi zao) lakini kwa Sasa mmebuni njia mpya ya kujipende eti Raisi ametoa ili owe njia ya kupata uteuzi.
 
Hii kitu iharakishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…