Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

Only that, mother anatakiwa akaze kwenye ufuatiliaji. CLOSE FOLLOW UP ndiyo maana ya Serikali. Tangu hela ilipopokelewa, inapoanza kutumika na mradi unapokamilika. Is value for money there?

If value for money is there, hakuhitaji maneno na madocument meengi. Mradi unajieleza. Mama inabidi akazane kwenye eneo hili. Wapigaji are back on the stage. Saa zingine wanaandaa mihitasaei kabisa kabla hata hela haijadumbukia.
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Uko sahihi 100%
 
👇🏿👇🏿👇🏿


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Yote yanayofanywa na CCM yalishaimbwa na Upinzani
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Unaendaje ccm KWa mfano, wataenda hao ambao shibe kwao ni kipaumbele, lakini wale wanaoliangalia Taifa KWa maslahi mapana zaidi kwenda huko Mara mia ukabaki ukabaki bila chama, haki na usawa ni KILA kitu katika taifa mengine yanafuata
 
Kampeni za kumnadi Samia zinapamba moto.Jitahidini sana maana mtavuna
Hana tofauti na Mwendazake
 
😍😍
 
Asante sana SSSH
 
CCM ni waongo, ukiwaamini umekwisha, washadangaya watanzania vya kutosha.
 
CCM ni waongo, ukiwaamini umekwisha, washadangaya watanzania vya kutosha.
 
Mambo ni Fire na Rais Samia,

Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…