Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Wakuu,

Zipo kampuni nyingi zinazotoa huduma za Bima ya Afya nchini lakini zote zina mazuri na kasoro zake.

Mjadala huu unalenga kuzichambua kampuni hizo na kuangalia packages walizo nazo, benefits na changamoto za bima/kampuni husika.

Nawakaribisha kwa mjadala ili tuwasaidie wale wanaotafuta jibu mbadala kwa ajili ya bima za afya zao au za familia zao.

NB: Sitarajii mjadala utageuka ubao wa matangazo
 
Wakuu naombeni mnifahamishe ni Makampuni gani yanayotoa huduma ya Bima ya Afya hapa nchini na ambayo huduma zake ni gharama nafuu na zenye uhakika?

Naomba pia kufahamu coverage ya hayo Makampuni, kwa maana ya Hospitali gani nitaweza kupata huduma nikiwa chini ya hayo Makampuni.

Natanguliza Shukrani.

Mapendo,
TANMO.
 
Mapendo, kama wewe ni mtumishi waweza kuandika barua kupitia mwajiri wako kwa NHIF kuomba kujiunga nao. Wao wanatoza asilimia 3 ya mshahara kwa mwezi kucover bima ya afya kwa familia yako ya jumla ya watu 6. Kama uko sekta binafsi, NHIF wana mfuko wa bima ya jamii (CHF), tafuta mawasiliano nao watakujulisha zaidi.

Ipo mifuko mingine mingi, lakini kwa kuwa msingi wa swali lako ni unafuu, basi nadhani NHIF inaweza kuwa suluhisho bora.
 
Mapendo, kama wewe ni mtumishi waweza kuandika barua kupitia mwajiri wako kwa NHIF kuomba kujiunga nao. Wao wanatoza asilimia 3 ya mshahara kwa mwezi kucover bima ya afya kwa familia yako ya jumla ya watu 6. Kama uko sekta binafsi, NHIF wana mfuko wa bima ya jamii (CHF), tafuta mawasiliano nao watakujulisha zaidi.

Ipo mifuko mingine mingi, lakini kwa kuwa msingi wa swali lako ni unafuu, basi nadhani NHIF inaweza kuwa suluhisho bora.

Mkuu nashukuru kwa useful information. Hebu naomba unitajie ni mifuko mingine pamoja na gharama zao kisha nitachuja vyema. Na kwa mtazamo wako, upi ni reliable zaidi?
 
Na mimi naomba niongezee hapo, nimeajiriwa na kampuni ninayofanya kazi nina bima ambayo ina cover mimi, mke pamoja na watoto wangu watatu, sasa iwapo nataka kuwachukulia wazazi wangu bima ya afya hapa ninafanyaje yani kwa mfuko huu niliopo/kwa mfuko mwingine?
 
Wakuu naombeni mnifahamishe ni Makampuni gani yanayotoa huduma ya Bima ya Afya hapa nchini na ambayo huduma zake ni gharama nafuu na zenye uhakika?
Naomba pia kufahamu coverage ya hayo Makampuni, kwa maana ya Hospitali gani nitaweza kupata huduma nikiwa chini ya hayo Makampuni.

Natanguliza Shukrani.

Mapendo,
TANMO.

Makampuni ya Bima ya Afya yako mengi kwa uchache tu nikuajie Jubilee, Momentum, AAR, Strategis nk. Sasa ukitaka zaidi ningekuomba utafute anuani zao ili kila moja upate kwa undani wanatoa huduma gani na bei yake na coverage yake vipi?
 
Makampuni ya Bima ya Afya yako mengi kwa uchache tu nikuajie ,Jubilee,Momentum,AAR,Strategis nk.sas ukitka zaidi ningekuomba utafute anuani zao ili kila moja upate kwa undani wanatoa huduma gani na bei yake,na coverage yake vp?

Thanks Mr. Declaration kwa hii orodha. Nitafanyia kazi pia.
 
Wakuu, kwa muongozo niliopata kutoka kwa Azimio imefanikiwa kupata orodha ya Makampuni kutoka kwenye Tovuti ya TIRA (leo ndiyo nimepata kuijua!!)....

Sasa basi, ninaomba kwa yeyote mwenye kujua gharama za haya Makampuni anisaidie kwa maana sijabahatika kupata gharama zao kwenye web, so far.. Pamoja na some guidance juu ya ni lipi liko reliable zaidi ili niweze kufanya uchaguzi sahihi.

Type of Client: Individual..

Insurance Companies

[TABLE="width: 100"]
[TR]
[TD]Name
[/TD]
[TD]Principal Officer
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Email
[/TD]
[TD]Website
[/TD]
[TD]Address
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AAR Insurance Co. Ltd
[/TD]
[TD]Mr. Arnold Masmini
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@aar.co.tz
[/TD]
[TD]www.aar.co.tz
[/TD]
[TD]Plot 1, Ali Hassan Mwinyi/Chato Rd. P.O. Box 9600 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]African Life Assurance Company Limited
[/TD]
[TD]Mr. Julius Magabe
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@aflife.co.tz
[/TD]
[TD]www.aflife.co.tz
[/TD]
[TD]9th floor Amani Place Ohio Street P.O Box 22229 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Alliance Insurance Corporation Ltd.
[/TD]
[TD]Mr. K.V. Krishnan
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]admin@alliancetz.com
[/TD]
[TD]www.alliancetz.com
[/TD]
[TD]Ghana Avenue 7th floor EXIM Tower P.O. Box 9942 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Alliance Life Insurance Company Limited
[/TD]
[TD]Mr. Aakash Mishra
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]life@alliancelife.co.tz
[/TD]
[TD]-NIL
[/TD]
[TD]5th floor EXIM Tower Ghana Avenue P.O. Box 11522 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bumaco Insurance Company Limited
[/TD]
[TD]Clement Kwayu
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]bumaco@yahoo.com
[/TD]
[TD]www.bumacolimited.com
[/TD]
[TD]Sokoine Drive,/ Luther House P.O. Box 13147 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Century Insurance Company Limited
[/TD]
[TD]Mr. Nick M. Itunga
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@centuryinsurance.co.tz
[/TD]
[TD]www.centuryinsurance.co.tz
[/TD]
[TD]Barclays House, 3rd Floor, Ohio Street P.O. Box 62729
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Assurance Company Limited
[/TD]
[TD]Ms. MaryAnne Mugo
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]enquiries@firstassurance.co.tz
[/TD]
[TD]-NIL
[/TD]
[TD]Amani Place, 4th Floor, Ohio Street P.O. Box 5799 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Golden Crescent Assurance Co. Ltd
[/TD]
[TD]Mr. Punnouse Varkey
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@gca.co.tz
[/TD]
[TD]www.gca.co.tz
[/TD]
[TD]8th Floor, CRDB Building Azikiwe Street P.O. Box 20660 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Heritage Insurance Co. (T) Ltd
[/TD]
[TD]Mr. Paul Lewis
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@heritagetanzania.com
[/TD]
[TD]www.heritagetanzania.com
[/TD]
[TD]OysterBay Office Complex 368 Msasani Road, P.O. Box 7390
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Insurance Group of Tanzania
[/TD]
[TD]Mr. S. Muhindi
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]NIL
[/TD]
[TD]-NIL
[/TD]
[TD]12th floor NIC Investment House Samora Avenue/Mirambo street P.O. Box 605 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lion of Tanzania Insurance Co. Ltd
[/TD]
[TD]Mr. S. Manyagarirwa
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]insurance@lion-tz.com
[/TD]
[TD]www.lion-tz.com
[/TD]
[TD]Amani House P.O. Box 1948
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Maxinsure (Tanzania) Limited
[/TD]
[TD]K.B. Nair
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]NIL
[/TD]
[TD]-NIL
[/TD]
[TD]Coco Plaza,Plot No.254 P.O.Box 110007
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MGen Tanzania Insurance Co. Ltd
[/TD]
[TD]Mr. Charles Sumbwe
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@mgentanzania.com
[/TD]
[TD]www.mgentanzania.com
[/TD]
[TD]NSSF Waterfront House 3rd floor P.O. Box 8318 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Milembe Insurance Company Limited
[/TD]
[TD]Mr. Amon A. Kitaa
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@milembeinsurance.com
[/TD]
[TD]-NIL
[/TD]
[TD]P.O. Box 14548
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Momentum Tanzania Insurance Company
[/TD]
[TD]Mr. P. Srivastava
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]pradeeps@tz.momentumafrica.com
[/TD]
[TD]www.momentumafrica.com
[/TD]
[TD]11th Floor,PPF Tower P.O. Box 77016 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwananchi Insurance Company Ltd
[/TD]
[TD]Mr. Gabriel Mwakasola
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Gabriel@mgentanzania.com
[/TD]
[TD]-NIL
[/TD]
[TD]P.O. Box 10523 ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]National Insurance Corporation (T) Limited
[/TD]
[TD]Mr. J.Mwandu
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info-nic@nictanzania.co.tz
[/TD]
[TD]www.nictanzania.co.tz
[/TD]
[TD]P.O. Box 9264
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Niko Insurance (Tanzania) Limited
[/TD]
[TD]Mr. M.Z. Sibande
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]irene@nikoinsurence.co.tz
[/TD]
[TD]www.nikoinsurance.co.tz
[/TD]
[TD]PPF House - 8th Floor P.O. Box 21228
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Phoenix of Tanzania Assurance Co. Ltd
[/TD]
[TD]Mr. S.C. Wadhawan
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@phoenixtanzania.com
[/TD]
[TD]www.phoenixtanzania.com
[/TD]
[TD]I.P.S. Building, 8th Floor, Samora Avenue P.O. Box 5961
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Real Insurance Tanzania Ltd
[/TD]
[TD]Mr. Steven Okundi
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]info@royalinsurance.info
[/TD]
[TD]www.royalinsurance.info
[/TD]
[TD]PPF Towers 2nd Floor, Ohio Street/Garden Avenue P.O. Box 75433
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="width: 100"]
[TR]
[TD]Name
[/TD]
[TD]Principal Officer
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Email
[/TD]
[TD]Website
[/TD]
[TD]Address
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Reliance Insurance Co. Tanzania Ltd
[/TD]
[TD]Mr. Parameswaran Rajaram
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]insure@reliance.co.tz
[/TD]
[TD]www.reliance.co.tz
[/TD]
[TD]Reliance House 3rd & 4th Floor, Plot No 356 United Nation Road Upanga P.O. Box 9826 DAR ES SA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Star General Insurance Tanzania Limited
[/TD]
[TD]Mr. P. Patil
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]stargeneralzt@gmail.com
[/TD]
[TD]-NIL
[/TD]
[TD]7th floor, Harbour view towers Samora Avenue P.O. Box 71956 Dar es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Strategis Insurance (T) Limited
[/TD]
[TD]Mr. Francois A. Van der Merwe
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]insurance@strategistz.com
[/TD]
[TD]www.strategistz.com
[/TD]
[TD]Plot no. 1349 A1,Hailie Selassie Road, Masaki P.O. Box 7893
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania National Reinsurance Corporation Ltd (TanRe)
[/TD]
[TD]Mr. Rajab Kakusa
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]mail@tan-re.co.tz
[/TD]
[TD]www.tan-re.co.tz
[/TD]
[TD]6th Floor Amani Place Building P.O. Box 1505
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzindia Assurance Company Limited
[/TD]
[TD]Mr. P. Bihari
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]bima@tanzindia.co.tz
[/TD]
[TD]www.tanzindia.com
[/TD]
[TD]5th Floor Amani Place, Ohio Street P.O. Box 1645
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Jubilee Insurance Co. (T) Ltd
[/TD]
[TD]Ms Zipporah Mungai
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]jictz@jubileetanzania.com
[/TD]
[TD]www.jubileetanzania.com
[/TD]
[TD]Amani Place 4th Floor Ohio Street P.O. Box 20524 DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar Insurance Corporation
[/TD]
[TD]Mr. A. Abdulrahaman
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]zic@zictec.org
[/TD]
[TD]www.zic.co.tz
[/TD]
[TD]Kenyata Road P.O. Box 432
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ni swali zuri mkuu na mimi naskilizia majibu kutoka kwa wadau, pia ningetaka kujua bima ambayo kadi zake zinakubalika hospitali nyingi zikiwemo zile kubwa za private bila unyanyapaa
 
Kuna kampuni kama AAR Ila nasikia wamefungua hospitali zao wenyewe kwa hiyo huduma ni poor sijui kampuni kama Momentum na Strategy huduma zao zikoje kwa sasa
 
Nimeipenda hii topic wakubwa na nitashukuru sana na sana kama tukipata kufahamishwa kuwa ni kampuni gani zinazotoa bima ya afya, na pia gharama zao zikoje kwa mwezi maana zinasaidia sana na sana.
 
Nimeipenda hii topic wakubwa na ntashukuru sana na sana kama tukipata kufahamishwa kua ni kampuni gani zinazotoa bima ya afya, na pia gharama zao zikoje kwa mwezi mana zinasaidia sana na sana.

Mara nyingi inakua ni kwa mwaka na si mwezi mmoja Collins
 
jamani wadau mko wapi mtusaidie?

Watakuja tu...
Mimi naifahamu tu ya NHIF ya watumishi wa umma inatumika mpaka hospitali za private kubwakubwa..
Sina taarifa sana kama hata wasio watumishi wa umma wanaweza kipata hiyo...lakini zipo nyingi za mashirika tofautofauti ambazo mtu yeyote anaweza kupata...
 
Mimi ni kijana mjasiriamali ninahitaji kujiunga na bima ya afya je ni shirika lipi linatoa huduma nzuri na bei za kuchangia ni kiasi gani?

Je, mnaruhusiwa watu wangapi kutibiwa?

Msaada jamani kwa anaejua

NHIF green card utatibiwa hospitali yeyote hapa Tanzania na nje ya nchi
 
Back
Top Bottom