Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

Hiyo bima ya AAR usithubutu hata ni gharama si kitoto, inacost karibia 20 mil per yr
 
Habari zenu,

Naomba kujuzwa kampuni zinazohusika na bima ya afya kwa hapa kwetu kama NHIF na nyingine zote na gharama zao kwa kadi za kawaida kabisa, maana hao NHIF (wamejitangaza sana ndio maana nimewajua ) ila ukifungua mtandao wao kiukweli maelezo yao hayajielezi kwa kutosha kuhusu hizo benefits.

Tafadhali mwenye uelewa naomba aniambie nataka nipate bima ya afya.
 
Habari ndugu zangu aliyesema NHIF ni nzuri tunaomba kama unajua gharama zikoje ungetujuza tafadhali maana bima ni muhimu sana
 
Ndugu yangu ni bora uchonge kibubu kitakusaidia lakini hiyo mifuko ya BIMA ya afya huwezi kupata huduma thabiti kila kitu utaambiwa kanunue utaambulia gharama ya ushauri na ukienda kununua utaambiwa dawa hizo zimeisha lakini ni baada ya kukugundua wewe ni mwanachama.
 
NHIF gharama zao kiboko, nilikwenda leo kuulizia kwaajili ya binafsi nimeambiwa milioni moja na nusu na Point kadhaa nikatoka speed
 
Habari waungwana.
Naomba kufahamu kampuni inayofanya vizuri zaidi katika huduma za bima Tanzania.
Vigezo vifuatavyo vizingatiwe.
1. Uwezo wa kuhudumia na kulipa madai
2. Idadi ya wateja
3. Aina za huduma wanazotoa
4. Muda iliofanya kazi kwa miaka mfululizo.
Ahsante sana kwa ushirikiano wako.
 
sidhani kama anazungumzia bima za afya[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mie siku base kwenye dhana, nilisoma heading sikuona sehemu kaandika Kampuni za Bima exclusive ya Bima za Afya
 
Mwananchi insurance company ltd ni kiboko katika utoaji wa huduma
 
Back
Top Bottom