Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

Jamani wapendwa naombeni ushauri kuhusu hizi bima na je mwisho miaka mingapi kupatiwa??
Please naombeni muwe serious kwa hili na ushirikiano wenu tafadhali .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AAR niya kimataifa kwa kweli popote utakapo enda utawakuta na unapewa first priority...ila michango yao kwa mwaka kwa mtu mzima ni zaidi ya $5000 sawa sawa na 11m Tz shilling, kama huo uwezo unao nakushauri ka wa fuate hao watu their good

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maisha ya mBongo wa kawaida hii ni gharama sana.

Atafute Jubilee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kampuni nyingi za bima za afya Tanzania. Anayejua gharama za bima zao za afya na packages zao atuwekee hapa ili anayetaka ajue aende wapi.
 
Ni kitu kizuri kama iwapo wataruhusu mfanyakazi wa serikali afanye uchaguzi wa Bima ya Afya itakayompatia matibabu. Hapo kwanza tutaona ushindani wa kutoa vifurushi vyenye kushawishi wateja. Lakini huu ukiritimba wa NHIF unasababisha wenyewe wajione alpha na omega. Kila kukicha wanapunguza huduma na vifurushi wanavyovitoa. Natumai imefika wakati muafaka kwa vyombo husika waanze kuifatilia kwa karibu. Wafanyakazi wa umma watashindwa kumudu gharama za matibabu na huku wakiendelea kukatwa kwenye mishahara yao. Hebu tizama hii taarifa ya hili gazeti:
Ninao uzoefu wa AAR wanatoa huduma nzuri lakini tatizo lao huduma zao ziko baadhi ya miji na mara nyingi International Agencies wanawatumia
 
Tuwekee package zao naona porojo tu kwenye website zao gharama za mtu kujiunga hazipo
 
Back
Top Bottom