Bima ya gari imekuwa anasa!

Bima ya gari imekuwa anasa!

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini kwenye kudaiwa bima polisi wamepewa nguvu kukamata magari huko barabarani

Lakini mwenye gari akipatwa na tatizo wakati wa kufuatilia malipo ya bima, polisi hawasumbuki kumshurutisha mtoa bima kulipa kwa wakati!?

..Na usipoangalia unaweza kudhulumiwa wakati bima ulikata
 
Kwa Mambo yalivyobana ghafla utoe 118,000/= unaona Bora ununue wese likufikishe kwenye mishe kwanza. #Kupanga_ni_kuchagua#
Samahani mkuu...ila kama hata 118,000/- kwa mwaka inakuwa tatizo achana na gari tu kwanza lina gharama nyingine kubwa kuliko hio 118,000/-.
Hio 118,000/- kwa mwaka ni kama 320/- kwa siku, je mafuta unaweka bei gani kwa siku?
 
Sawa. Mnyonge mm
 
Back
Top Bottom