Bima ya gari imekuwa anasa!

Bima ya gari imekuwa anasa!

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini kwenye kudaiwa bima polisi wamepewa nguvu kukamata magari huko barabarani

lakini mwenye gari akipatwa na tatizo wakati wa kufuatilia malipo ya bima, polisi hawasumbuki kumshurutisha mtoa bima kulipa kwa wakati!?

..Na usipoangalia unaweza kudhulumiwa wakati bima ulikata
Ni utapeli tu
 
Na sasa hivi kuna bima feki mzee wangu. Unakuta sticker number moja ipo kwenye sticker zaidi ya tatu halafu kwenye system inasoma mtu mmoja. Utapeli huu upo hasa kwa hawa mawakala wa bima
 
Na sasa hivi kuna bima feki mzee wangu. Unakuta sticker number moja ipo kwenye sticker zaidi ya tatu halafu kwenye system inasoma mtu mmoja. Utapeli huu upo hasa kwa hawa mawakala wa bima

Hivi ukidakwa na traffic kesi inakuwa kwa nani hapo? Mana unaweza kuta hujui kinachoendelea!
 
Weka akiba ya maneno mkuu. Watu wanapitia mengi sana.
Kwani ni lazima kila siku uwe na pesa,si analipaki kwa muda tu na siku akiwa fresh anakata zake bima anakua yuko kwa road free!! Siku hazifanani tusi force sana life muda mwingine!!
 
Kwa Mambo yanavyokwenda imefikia hatua hata bima ikiisha, kukata nyingine msala (hapa nazungumzia 'Third party').

Maisha haya aisee itafika wakati hata haya magari tutauza tu.
Niuzie ndugu, unayo managapi?

Naomba kukuuliza?
1. Ina magari mangapi ambayo umasemabutauza
2. Je, magari hayo ni ya biashara au yote ya anasa nabkuendea kazini?
3. Ikiwa ni ya biashara, je hayaleti faida tena kama zamani, kwanini? Maana mpaka yameshindwa kujilipia bima.
4. Je, wewe ni mfanyakazi? Ikiwa jibu ni ndiyo. Je, mshahara umepunguzwa au ni uleule? Ikiwa jibu ni uleule. Kwanini unashindwa kumudu gharama za bima kama zamani? Zamani ulikuwa unapata wapi pesa kulipia bima ambako sasa hivi hauwezi kupata kama mfanykazi

Maswali ni mengi. Niishie hapo...
 
Hivi ukipasua taa kama una bima kubwa wanatakiwa wakulipe?
Watalipa kiasi kinachozidi baada ya 350k. Mfano ajali imesababisha repair ya 500k ww utalipa 350k then wao watalipa 150k.

Ila ukiwa umelipia full cover wanakulipa hela yote so binafsi naonaga kuliko ulipe comprehensive ya kawaida ni aheri ukate bima ya kawaida tu. Kama ni compr ni bora kulipia full cover.

Kuna masharti kibao bima wanayaficha ila ukipata tatizo ndio unaelezwa. Naona ni muhimu sana tupate elimu ya bima kwa upana.
 
Na sasa hivi kuna bima feki mzee wangu. Unakuta sticker number moja ipo kwenye sticker zaidi ya tatu halafu kwenye system inasoma mtu mmoja. Utapeli huu upo hasa kwa hawa mawakala wa bima
Download Tira utakua unacheki mwenyewe kwenye system,usimuamini sana Wakala!! Mi kuna gari kibao na zichekigi kimyakimya unakuta kwenye kioo ziko poa lakini kwa system ina sema gari haina Bima!!
 
Samahani mkuu...ila kama hata 118,000/- kwa mwaka inakuwa tatizo achana na gari tu kwanza lina gharama nyingine kubwa kuliko hio 118,000/-.
Hio 118,000/- kwa mwaka ni kama 320/- kwa siku, je mafuta unaweka bei gani kwa siku?
Watz tumezidi sana kulalamika jamani!

Yani mtu anaona 118,000 kwa mwaka ni nyingi mpaka anaifungulia uzi sasa huyu amemiriki gari ya nini?
Mtu kama huna uwezo wa kumiriki gari bora uache tu aisee
 
Weka akiba ya maneno mkuu. Watu wanapitia mengi sana.
Sawa mkuu. Ila kama unapitia magumu weka gari pembeni sio lazima. Vijana hapa ndio mnakosea mkiambiwa ukweli mnaleta mambo yenu. Gari sio lazima kuna daladala. Kama umefikia hatua 118,000/- ya bima ya gari inakuwa tatizo achana na hio gari kabla hujaishia pabaya.
 
Back
Top Bottom