Bima ya gari imekuwa anasa!

Bima ya gari imekuwa anasa!

Ngoja upate ajali imehusisha magari au mtu mwingine ndo utajua umuhimu wake
 
ukweli lazima usemwe.

kumiliki gari sio tu kwamba umeyapatia maisha noo,ila shida ndogo ndogo unamudu kuziua.

ndio maana kwenye hayo magari TRA haijawahi kuwa na simile.na bado yananunuliwa.
 
ukweli lazima usemwe.

kumiliki gari sio tu kwamba umeyapatia maisha noo,ila shida ndogo ndogo unamudu kuziua.

ndio maana kwenye hayo magari TRA haijawahi kuwa na simile.na bado yananunuliwa.
Tukinunua haya magari enzi za Neema za mkwere. Mambo yamebadilika Sana
 
Kule nilikokulia mimi huwa kuna utani watu huwa wanafanya, pale inapotokea mtu anamiliki Baiskeli halafu haina kengele. Huwa wanamtania wanamwambia "uza baiskeli ununue kengele". Kwa huyu basi wangeweza kumwambia auze gari halafu anunue bima ya gari
Kagera hiyo
 
Download Tira utakua unacheki mwenyewe kwenye system,usimuamini sana Wakala!! Mi kuna gari kibao na zichekigi kimyakimya unakuta kwenye kioo ziko poa lakini kwa system ina sema gari haina Bima!!
Ohoo! Umeishawashtua jamaa!!
 
Kwa Mambo yanavyokwenda imefikia hatua hata bima ikiisha, kukata nyingine msala (hapa nazungumzia 'Third party').

Maisha haya aisee itafika wakati hata haya magari tutauza tu.
Kwani wewe mpaka umri huyo haukujua kuwa nyumbandogo ni balaa, unaweza ukaikimbia familia yako.
 
Unakuta bima imeisha kipindi una ukataa. Mwaka jana nilataka nimalize mwaka mzima bila kulipia bima kabisa coz nnilikutana na viajari vingi ila bima haikuwa msaada hata kidogo.

Nilikomaa miezi 6 ninapenyeza mjini bila bima mpaka ndugu yangu mmoja alikuwa na vipesa akaamua kunilipia. Yani na angenipa cash nisingelipa.
Shukuru tu wewe[emoji16][emoji16]...wale jamaa hawafai
 
Back
Top Bottom