Huu Mfuko serikali ispoangalia Afya za watu zitaangamia Kwa kukoswa Huduma Bora ya afyaMfuko wa bima ya Afya nahisi ulishajifia, unaendeshwa kwa hasara, mikopo na kudhulumu taasisi za afya.
Hii habari sio kweli nhif ni walipaji wazuriHospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini.
Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali zaidi ya Miez 5, Hospitali Moja kama Muhimbili inadai zaidi ya Bil 15 kwenye mfuko Huu, na Hajalipwa na mkataba wao ni siku 60.
Mama Samia Raisi wetu Mpendwa huo Mfuko wa BIMA uangaziwe, ikiwezekana vunja Uongozi, unaua Huduma za afya.
Siasa zinapoingia kwenye biashara matatizo lazima yatokee.Sijui Hizo Hela wanapeleka wapi?
Mama mnamuonea Bure haya yooote jiwe wenu huyo sasa athali zake ziko wazi na badoooo!!Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitali...
ridiculousMama mnamuonea Bure haya yooote jiwe wenu huyo sasa athali zake ziko wazi na badoooo!! si mlikuwa mnamshangilia nyie mbwa sasa wacha muonje jotolake!! Mama wala usisumbuke na misukule ya kibongo usije ukafa Mapema bureeee!
weye Mama yapeleke peleke tu!! yamezoe shida hayo majitu! hayana hata shukrani!! yanashangilia ujinga ujinga sasa wacha wale jeuri yao!! hasa chato kaza uzi!! tuliyaambia yakaona sie walevi!
Jiwe alijua huu ugumu ulio mbele yake alivo kuwa muoga Akapandisha perssure akafa!! sijawahi ona Rais muoga km Jiwe!! Uoga ulimfanya aweke Risasi mbele!
Itakuwa ulijifia enzi zile za gawio!Mfuko wa bima ya Afya nahisi ulishajifia, unaendeshwa kwa hasara, mikopo na kudhulumu taasisi za afya.
Taarifa za Uhakika Jiwe alichota huko pesa nyingi mno na ndiye alisababisha vifurudhi vipae juu kwa bei kubwa na kuondoa huduma nyingi mno kwenye vifurudhi.Mama mnamuonea Bure haya yooote jiwe wenu huyo sasa athali zake ziko wazi na badoooo!! si mlikuwa mnamshangilia nyie mbwa sasa wacha muonje jotolake!! Mama wala usisumbuke na misukule ya kibongo usije ukafa Mapema bureeee!
weye Mama yapeleke peleke tu!! yamezoe shida hayo majitu! hayana hata shukrani!! yanashangilia ujinga ujinga sasa wacha wale jeuri yao!! hasa chato kaza uzi!! tuliyaambia yakaona sie walevi!
Jiwe alijua huu ugumu ulio mbele yake alivo kuwa muoga Akapandisha perssure akafa!! sijawahi ona Rais muoga km Jiwe!! Uoga ulimfanya aweke Risasi mbele!
mukuu naked turuuridiculous
Pua pua puaaaaPoor services
Siwezi sahau 🤐Degree za kununua na ajira za vimemo ndio vinavyotufikisha hapa?
Ajira zote nzuri mashirika ya umma ni za vimemo.
What do you expect?
Huu mfuko una tatizo gani ? Na kila mwezi wanatukata hela tu.Huku Dar maduka mengi ya madawa siku hizi hawatoi tena dawa kwa vocha ya NHIF sababu ya kutokulipwa