Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 476
- Thread starter
- #21
Kila Mwezi wanakusanya Mabillioni ya pesa lakini Matokeo Yake Hospital zinalemewa uendeshaji Kwa Madeni ya mda mrefu, Hospital zinategemea wagonjwa wa cash ndio waendeshe Huduma za ununuzi wa dawa, na vifaa Tiba , Harafu Tunategemea afya za watu zitakuwa imaraHuu mfuko una tatizo gani ? Na kila mwezi wanatukata hela tu.