Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

Wewe ushavurugwa..unahitaji mental care.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ukweli Mazee!!.....Wala si uongo me wa aina hii wamejaa kwa macheni pale wanahitaji huduma tu! ! utawajua kwa kubishana sana na ke!...hawakomagi kama wanaume ila ukipachika hili yeye anakuja na hili!
 
Hii ni akili ya kijinga sana ,hakuna unaoloijua na kwa kuwa ni jobless umebaki una upambe wa kishambaa sana

sent from HUAWEI
Acha hasira dogo!! job less ni dhambi Mkuu??? Bongo mnalipwa sh.ngapi na certificate zenu hizo?? saana laki 2! hii hata kupanda ndege kwenda kibaha Mile moja hailipi!! sasa kwa nini msiwe na stress!! yaani unatamani kuajiliwa???
 
Hii ni akili ya kijinga sana ,hakuna unaoloijua na kwa kuwa ni jobless umebaki una upambe wa kishambaa sana

sent from HUAWEI
Teh!teee!! tetete!! mwenzenu kaona hii ngumu kumesa kajinywea kasumu kake!! sasa mnajidai kumuwekea Mnara wa kumbumbu! hee!!!! kumbukumbu samahani! yaani poleni sana hata sisi tulikuwa ivoivo!! usipasue computer yako please!! yataisha tu
 
Nyie mnatuchanganya. Si mna mkataba na NHIF? Kama wanalipa tofauti na muda wa mkataba kwa nini hamuwashitaki?
 
Watoa huduma wengi wameachana na NHIF , waliong'ang'ania wamefirisika
 
Mfuko umeona maoni haya juu ya malipo ya madai ya Vituo tajwa. Taarifa sahihi ni kwamba, mpaka sasa Mfuko hauna madai yoyote ya vituo husika yaliyowasilishwa kwa NHIF yaliyozidi muda wa malipo kimkataba.

Mfuko umejipanga na unaendelea kufanyia kazi madai kwa uharaka na ufanisi zaidi.

Kwa Mtoa huduma yoyote mwenye changamoto katika eneo hili atumie njia sahihi kuwasiliana na Mfuko kwa utatuzi wa haraka zaidi.
 
Usijumklishe Afrika nzima. Sema Tanzania.

Humuhumu Afrika kuna nchi zinajielewa.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu mkishindwa lawama kwa jiwe, kwani waliopo madarakani si ni wale wale?
Baadaye atakuja mwingine lawama zitakuwa kwa mama
 
Kila kitu mkishindwa lawama kwa jiwe, kwani waliopo madarakani si ni wale wale?
Baadaye atakuja mwingine lawama zitakuwa kwa mama
Alikuwa ana kurupuka mno bana!! eti anamuiga sokoine mweee! hakufikiri, na hakuambilika yule km kichaa vile!!...basi pumzika hataki..sasa Mkuu Shetani na ubabe wake wooote ule anapumzika!! sasa jiwe nani asipumzike ??aliyataka muache afe!!
 
Watanzania sijua aliyetuloga Nani Makosa uzembe wa watu anasingizia aliyelala umilele
Jua kulala umilele ni uzembe wake!! asa km aliwekwa na Mungu kwa nini asimtafute!! ampe maelezo bana?? msitetee uzembe!! Kwanza ujue kabisa halikujua kutubu lile jamaa! fikiria tu liko wapi!!! ...wewe fanya masihara utalifuata huko kuzimu!
 
Alikuwa ana kurupuka mno bana!! eti anamuiga sokoine mweee! hakufikiri, na hakuambilika yule km kichaa vile!!...basi pumzika hataki..sasa Mkuu Shetani na ubabe wake wooote ule anapumzika!! sasa jiwe nani asipumzike ??aliyataka muache afe!!
Mama Samia alikuwa makamu wa rais
Majaliwa waziri mkuu
Mpango waziri wa fedha
 
Usijumklishe Afrika nzima. Sema Tanzania.

Humuhumu Afrika kuna nchi zinajielewa.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Maweee!! sitaki kukuuliza ni nchi gani inayo jielewa mie nazijua sana .... ila Africa ilipaswa kufumuliwa upya!! iumbwe upya!,,shetani amewavuruga hasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…