Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

Ukisema madhara ya mfuko huu unakosea kwa sababu NHIF huko nyuma ilijitahidi kuhudumia vizuri.

Matatizo yalianza baada ya ule utaratibu wa gawio.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hivi walikuwa wanatumia vigezo gani kugawa michango ya wafanyakazi wanayokatwa kila mwezi ili watibiwe?
 
Leo nimeona hii....
 
Mkuu kwenye mafao tatizo kubwa walichota pesa wakaacha kulipa wastaafu mafao ya mkupuo kwa wakati mpaka Yale ya mwezi. Matokeo take kuna malimbikizo ya kufa mtu. Hivyo hauwezi kabisa kuhimili makusanyo ya mwezi. Yaani lile Jamaa kichwani lilikuwa Empty Set kabisa. Yaani mtu unastaafu unafuatilia mafao hupati wakati inatakiwa siku unaondoka utumishi na siku hiyo hiyo yaingie. Mpaka wengine wamefariki kwa pressure ya kutopata mafao kwa wakati.
 
Mifuko binafsi itaibuka sasa na kupiga pesa
 
Mifuko binafsi itaibuka sasa na kupiga pesa
Kwenye Afya kuna gharama kubwa Sana angalia nchi zote zenye lifespan ndefu wamewekeza kwenye Afya na gharama za Matibabu ziko Juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…