wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
πππ Imekaa vzr sana kwa kupigia picha mzee.Cheki chuma hii ilivyo shiba, tunawachapa mjini na porini tunawachapa, yaani hamtoki popote πππ
JituMirabaMinne
Isanga family
wa kupuliza View attachment 2024833
hii kwa kupulizia nzuri sana ππππ Imekaa vzr sana kwa kupigia picha mzee.
πππ yaani hapo Ni haikatai mzee.hii kwa kupulizia nzuri sana π
Aisee hii kitu kweli kabisa.. Ukiwa unaendesha Bimmer unafeel wengine barabarani wapo very slow.. Mara nyingi tunakuwa arrogant..!
Aaah! lazima Mrs ππ escort wataka gari ganiMr. Holy man haya nipe kwanza hiyo Bima niitestπ karoute kidogo niende hata Dodomaπ
Gusheshe1992 E34..View attachment 2023596
Yes.. Ila hapo teyari Toyota ana advantage ya kudumu.. Engine kubwa ujazo ila inatoa power kidogo ni bora kuliko engine ndogo ujazo halafu power kubwa.. Block inakuwa stressed zaidi.. Pia kuna a lot ya technology ili kufanikisha hivyo.. Na hizo techs sasa ndio zinafail na kuharibu reputation ya reliability.. Tofauti na engine simple kama 1hz..Kila gari ina haribika mkuu, kuna yotota zimeharibika haraka zaidi ya Amarok
Sizielewi toyota kabisaa , mwanadamu mwenyewe anakufa sembuse gariYes.. Ila hapo teyari Toyota ana advantage ya kudumu.. Engine kubwa ujazo ila inatoa power kidogo ni bora kuliko engine ndogo ujazo halafu power kubwa.. Block inakuwa stressed zaidi.. Pia kuna a lot ya technology ili kufanikisha hivyo.. Na hizo techs sasa ndio zinafail na kuharibu reputation ya reliability.. Tofauti na engine simple kama 1hz..
Dooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.
Exposure nyie hamna. Mmeishia kuona LC za serikali hapa bongo basi nyie mnauona ndio kila kitu. Sasa kama huna experience na gari aina nyingine unatoa maoni gani? Umeendesha x7? Hapana, GLS? GLE?? G65? , macan? Q7? Q8? Yote hapana. Sasa unataka kusema fulani ni bora wakati hujaendesha/ku experience hizo nyingine?Dooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.
Watumiaji wengi wa iPhone huwa wanadhani hakuna simu duniani kama iPhone na wanadharau sana watumiaji wa android. Wakati android hazifanani kuna Samsung kibao tu zinakalisha hizo iPhone tena za range moja.
Nimeshangaa watu wanang'ang'ania kufananisha hadi VX.R V8 na Bimmer duuh. Kuna watu ni Bimmer maniacs na huwa wanazipondea sana gari za mjep ila wanakuambia VX.R V8 ni moto wa kuotea mbali aiseee.
Maisha sio rahisi hivyo kenge wewe πππ isiwe lift tu ya siku moja mkuu, nifanye niwe Mrs Holy man mwenye X8π¬
He he he he uje uchukue funguo getoMr. Holy man haya nipe kwanza hiyo Bima niitestπ karoute kidogo niende hata Dodomaπ
Kweli aisee,unakuta engine ndogo inabustiwa na turbo na kutoa hp kubwa kichizi reliability yake lazima iwe ndogo,haiwezi kulingana na engine kubwa yenye power kidogo esp. natural aspirated.Yes.. Ila hapo teyari Toyota ana advantage ya kudumu.. Engine kubwa ujazo ila inatoa power kidogo ni bora kuliko engine ndogo ujazo halafu power kubwa.. Block inakuwa stressed zaidi.. Pia kuna a lot ya technology ili kufanikisha hivyo.. Na hizo techs sasa ndio zinafail na kuharibu reputation ya reliability.. Tofauti na engine simple kama 1hz..
Sifa kubwa ya bimmer na ndg zake wa ujerumani utasikia tu ukifungua mlango wake Ni mzito saaana πππ.Dooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.
Watumiaji wengi wa iPhone huwa wanadhani hakuna simu duniani kama iPhone na wanadharau sana watumiaji wa android. Wakati android hazifanani kuna Samsung kibao tu zinakalisha hizo iPhone tena za range moja.
Nimeshangaa watu wanang'ang'ania kufananisha hadi VX.R V8 na Bimmer duuh. Kuna watu ni Bimmer maniacs na huwa wanazipondea sana gari za mjep ila wanakuambia VX.R V8 ni moto wa kuotea mbali aiseee.
Wasauzi wanafanyia saana fujo hizi.Gusheshe
Android msijilinganishe na IOS aseee.. IOS ache iitwe hivyo π π π π π π πππππ watu hadi wanauza utu wao kwa IOS na sio android ndio utajua IOS habari ingine hata uzinduliwaji wake huwa wa kipekee sana π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺDooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.
Watumiaji wengi wa iPhone huwa wanadhani hakuna simu duniani kama iPhone na wanadharau sana watumiaji wa android. Wakati android hazifanani kuna Samsung kibao tu zinakalisha hizo iPhone tena za range moja.
Nimeshangaa watu wanang'ang'ania kufananisha hadi VX.R V8 na Bimmer duuh. Kuna watu ni Bimmer maniacs na huwa wanazipondea sana gari za mjep ila wanakuambia VX.R V8 ni moto wa kuotea mbali aiseee.
mkuu mbona unaniwekea kauzibe tena mtoto kaelewa unakuja kanyaga tena wire dah binadamu bwanaaa π₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯ΈMaisha sio rahisi hivyo kenge wewe π