Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

Kazi kwenu wazee wa Bimmer!

C3856B67-F71C-4017-9FB3-08A83FEC4F42.jpeg
 
Kila gari ina haribika mkuu, kuna yotota zimeharibika haraka zaidi ya Amarok
Yes.. Ila hapo teyari Toyota ana advantage ya kudumu.. Engine kubwa ujazo ila inatoa power kidogo ni bora kuliko engine ndogo ujazo halafu power kubwa.. Block inakuwa stressed zaidi.. Pia kuna a lot ya technology ili kufanikisha hivyo.. Na hizo techs sasa ndio zinafail na kuharibu reputation ya reliability.. Tofauti na engine simple kama 1hz..
 
Sizielewi toyota kabisaa , mwanadamu mwenyewe anakufa sembuse gari
 
Kazi kwenu wazee wa Bimmer!

View attachment 2024958
Dooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.

Watumiaji wengi wa iPhone huwa wanadhani hakuna simu duniani kama iPhone na wanadharau sana watumiaji wa android. Wakati android hazifanani kuna Samsung kibao tu zinakalisha hizo iPhone tena za range moja.

Nimeshangaa watu wanang'ang'ania kufananisha hadi VX.R V8 na Bimmer duuh. Kuna watu ni Bimmer maniacs na huwa wanazipondea sana gari za mjep ila wanakuambia VX.R V8 ni moto wa kuotea mbali aiseee.
 
Exposure nyie hamna. Mmeishia kuona LC za serikali hapa bongo basi nyie mnauona ndio kila kitu. Sasa kama huna experience na gari aina nyingine unatoa maoni gani? Umeendesha x7? Hapana, GLS? GLE?? G65? , macan? Q7? Q8? Yote hapana. Sasa unataka kusema fulani ni bora wakati hujaendesha/ku experience hizo nyingine?
 
Yes.. Ila hapo teyari Toyota ana advantage ya kudumu.. Engine kubwa ujazo ila inatoa power kidogo ni bora kuliko engine ndogo ujazo halafu power kubwa.. Block inakuwa stressed zaidi.. Pia kuna a lot ya technology ili kufanikisha hivyo.. Na hizo techs sasa ndio zinafail na kuharibu reputation ya reliability.. Tofauti na engine simple kama 1hz..
Kweli aisee,unakuta engine ndogo inabustiwa na turbo na kutoa hp kubwa kichizi reliability yake lazima iwe ndogo,haiwezi kulingana na engine kubwa yenye power kidogo esp. natural aspirated.
 
Dooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.

Watumiaji wengi wa iPhone huwa wanadhani hakuna simu duniani kama iPhone na wanadharau sana watumiaji wa android. Wakati android hazifanani kuna Samsung kibao tu zinakalisha hizo iPhone tena za range moja.

Nimeshangaa watu wanang'ang'ania kufananisha hadi VX.R V8 na Bimmer duuh. Kuna watu ni Bimmer maniacs na huwa wanazipondea sana gari za mjep ila wanakuambia VX.R V8 ni moto wa kuotea mbali aiseee.
Sifa kubwa ya bimmer na ndg zake wa ujerumani utasikia tu ukifungua mlango wake Ni mzito saaana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.
 
Dooh kweli mkuu mimi watumiaji wa Bimmer naonaga hawana tofauti na baadhi ya watumiaji wa iPhone yaani wote wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Hawataki kukubali kwamba kuna sehemu wamezidiwa.

Watumiaji wengi wa iPhone huwa wanadhani hakuna simu duniani kama iPhone na wanadharau sana watumiaji wa android. Wakati android hazifanani kuna Samsung kibao tu zinakalisha hizo iPhone tena za range moja.

Nimeshangaa watu wanang'ang'ania kufananisha hadi VX.R V8 na Bimmer duuh. Kuna watu ni Bimmer maniacs na huwa wanazipondea sana gari za mjep ila wanakuambia VX.R V8 ni moto wa kuotea mbali aiseee.
Android msijilinganishe na IOS aseee.. IOS ache iitwe hivyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu hadi wanauza utu wao kwa IOS na sio android ndio utajua IOS habari ingine hata uzinduliwaji wake huwa wa kipekee sana πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Back
Top Bottom