Bimmer na Landcruiser V8

Watu wamepaki maprado kama TRJ150 sababu ya kuburuza watakavyo.

Hilo LC200 ndio sitaki hata kulitaja.

Gari ya kuburuza utakavyo LC mkonge 70 series.
Kama huna hela ya kulimudu hata passo utaipakiπŸ˜…!

Tatizo wabongo tuna tendency ya kuvimba hasa mtu awe na kamshara ka kuanzia 1.5m utashangaa kajitwika li Crown! Mafuta ya laki 6 kwa mwezi

Akitimuliwa kazini tu gari haitoboi 6 mos tayari screpa
 
Sasa cost ya kuhudumia Passo na cost ya kuhudumia v8 hazifanani.
Impliedly hio gari jamaa amenunua wakati hana income streams za uhakika! Gari inapotaka prompt service ukawa huna hela lazma ulipark otherwise utalikaanga!

Sasa regular maintance ya V8 oil na service ya filters inagonga 250K kwa mtu wa kawaida lazma iwe kipengele! Chukulia hilo unalifanya 3 times in a months kama mtu wa masafa sana hio ni hela ndogo?
 
Natumia app ya JF nikitaka kuona hiyo attachment iliyotumwa nafanyaje?
hili limekuwa ni tatizo mtambuka kwa developer wa application ya jamiiforum.

haiwezekeni app maarufu kama hii inashindwa kumuwezesha mtumiaji ku preview/download video attachment. binafsi nakereka sana.

halafu kuna wakati mpaka images ambazo zimekuwa attached, huwa zina shindwa kufunguka. inabidi utumie browser.

Maxence Melo tuonee huruma, kumbuka sisi ni wateja wako, plz solve tatizo hili haraka iwezekanavyo.
 
Nilichogundua ushabiki ndio umetawala humu,bmw 340i inazizidi land cruiser zote vxl v8 yaani petrol&diesel katika suala la speed kuanzia kwenye acceleration hadi top speed mfano 340i 0-60 ni 4.8 secs top speed ni 249km/h while vxl v8 0-60 ni 8.2 secs with 210km/h top speed,sasa huu ulinganifu unahusisha barabara ya chunya kwenda tabora au kwenye lami?!
 
Engine Tani tatu!!yaani engine inauzito zaidi ya Carina!!!
 
340i hiyo gari engine kubwa.. Plus hapa tunaongelea vitu practical sio vya kusadikika.. Landcruiser ya mwaka 2020 kukutana nayo barabarani ni jambo la kawaida.. Ila hiyo 340i umeshawahi kuiona barabarani..!!
Tunalingalisha gari ambazo zipo mazingira yetu Tanzania..!
 
Hahahahaha! Sio Land Cruiser, labda hizo gari zenu za kizungu mnazoshabikia
Aisee hizo Landcruiser zinaharibika pia.. Ishu ni gari za serikalini.. Kuna taasisi kadhaa zimeshindwa kuzimaintain gari.. Zimepaki nyingi tuu.. Fanya kutafuta Landcruiser za serikali zilizokuja brand new 2014 mpaka leo ngapi bado zipo barabarani..
 
Huwa namshangaa sana mtu anaelinganisha 3 series na VXR.

Wakati BMW lineup ina 3, 4, 5, 6, 7, 8 series na x1, x2, x3, x4, x5, x6, x7 na sahivi inakuja x8. Bado hujaweka M series.

Out of all lineup, why 3 series?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…