Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hilo moto wake sio mchezo! Halijali bumps wala rasta linakatiza tu. Shock ups zake zipo Poa sanaV8 achana nalo akikaa dreva sahihi huwezi muacha kizembe. Utabisha tu ila ndo uhalisia.
Mwenyewe nina mjerumani ila ukileta mambo ya kushindana na huyo mjapan kwenye hizi barabara zetu na dreva akiwa vizuri hutoboi.
Kwanza ile gari kwenye bamsi anafukia tu wakati lets say una x5 new generation huwezi fukia bamsi kubwa utaogopa sensa zisidondoke.
😄 kwa hiyo kile kibati pale kimeandikwa 180 ndicho mwamuzi siyo? Fanya tena uchunguzi anza na basi lenye 160 vs Passo 180.
Hahahha ndio maana namwambia huyo chalii hio GX V8 ni kama Tank! Yani inafukia rasta na ma bumps kama utani vile 😅V8 achana nalo akikaa dreva sahihi huwezi muacha kizembe. Utabisha tu ila ndo uhalisia.
Mwenyewe nina mjerumani ila ukileta mambo ya kushindana na huyo mjapan kwenye hizi barabara zetu na dreva akiwa vizuri hutoboi.
Kwanza ile gari kwenye bamsi anafukia tu wakati lets say una x5 new generation huwezi fukia bamsi kubwa utaogopa sensa zisidondoke.
Anaruka bumps na 100KPH wakati wewe unarudi mpaka 30KPH baadhi ya maeneo yenye rasta 😅Hilo moto wake sio mchezo! Halijali bumps wala rasta linakatiza tu. Shock ups zake zipo Poa sana
Kabisa mkuu.Hilo moto wake sio mchezo! Halijali bumps wala rasta linakatiza tu. Shock ups zake zipo Poa sana
Ukiwa na bmw inabidi utubu kwenye rasta maana ukimuiga v8 umeumia. Utauguza majeraha mpaka ukome. Kuanzia bushi mpaka shock ups lazima ubadiliAnaruka bumps na 100KPH wakati wewe unarudi mpaka 30KPH baadhi ya maeneo yenye rasta 😅
Labda Bumps kubwa na zipe Humps...Anaruka bumps na 100KPH wakati wewe unarudi mpaka 30KPH baadhi ya maeneo yenye rasta 😅
Speed kubwa uongo😅 utaacha sample! Ground clearance ya hilo v8 sio kama ya bmwLabda Bumps kubwa na zipe Humps...
Ila Rasta hata Mjerumani anapita kwa speed kubwa.
Af Bumps kubwa hata huyo Mjep lazima arudi 30 otherwise lazima apae....
Speed kubwa uongo😅 utaacha sample! Ground clearance ya hilo v8 sio kama ya bmw
Sawa utapita kwa speed kubwa kwenye rasta lakini baada ya week utaenda clinic kuuguza majeraha 🤣🤣 maana huko chini kutaanza kugonga balaaLabda Bumps kubwa na zipe Humps...
Ila Rasta hata Mjerumani anapita kwa speed kubwa.
Af Bumps kubwa hata huyo Mjep lazima arudi 30 otherwise lazima apae....
Hatupondei😅 ila ndio ukweli. BMW inataka lami za kiwango cha Autobhan hizi lami zetu za nusu simenti nusu zege watasubiri sana 🤩Ndio visingizio vyenu mkianza kuwaponda wajerumani.
Ataangusha sensa za upepo na breki!Sawa utapita kwa speed kubwa kwenye rasta lakini baada ya week utaenda clinic kuuguza majeraha 🤣🤣 maana huko chini kutaanza kugonga balaa
Yes Bimmer haitaki barabara mbovu kweli.Hatupondei😅 ila ndio ukweli. BMW inataka lami za kiwango cha Autobhan hizi lami zetu za nusu simenti nusu zege watasubiri sana 🤩
Nna experience ya BMW X3. Nilikua nalibembeleza kwenye rasta maana najua gharama zake kwenye kubadili bush na wishbone. Ila ukikuta lami nzuri na haina bumps za hapa na pale utatembea mpaka uchokeYes Bimmer haitaki barabara mbovu kweli.
Ila hapa mjadala ni rasta.
Nna experience ya BMW X3. Nilikua nalibembeleza kwenye rasta maana najua gharama zake kwenye kubadili bush na wishbone
Gari mpaka iue wishbone we utakuwa uneigeuza Off road af unapita juu ya mawe kwa
shida ya hizi highway zetu unakutana na mashimo ya kushtukiza inabidi ufukie tu maana ukikwepa unaweza kupata ajali. Ukiwa na kilimo kwanza unapiga shimo bila hofu ila sasa uje kwenye haya magari ya kizungu utajuta. Unaweza kuacha sample barabaraniGari mpaka iue wishbone we utakuwa uneigeuza Off road af unapita juu ya mawe kwa speed kali.
Mkuu hili wala sidhani kama litakuwa na mjadala mrefu.
Ukiona gari imeandikwa 180 na imefungwa saizi ya tairi sahihi basi hiyo gari haiwezi kuvuka 180.
Ukiona gari imeandikwa 180 na inavuka 180 basi kuna mawili. Moja gari imefungwa tairi za saizi kubwa kuliko zinazotakiwa, mbili gari imekuwa tuned ikaondolewa speed limiter.
Speaking from experience, last week tulikuwa tunapeleka gari Toyota Premio Tanga mjini. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa ile gari tairi zilizofungwa ni 175/70R14 na ukisoma kile kibati cha pale mlangoni tairi zinazotakiwa ni 185/70R14.
Ile gari tukisoma speed kwenye google map ilikuwa inatuletea speed ndogo kuliko speed inayoonesha kwenye dashboad. Around 55Km/h kulikuwa na difference ya 4Km/h.
Speaking of Passo na Bus aiseee hizi ni story za vijiweni. Speed ni universal.
Basi na passo zote zikianza at point A na zikaaccelerate kwa 100Km/h wote watafika point B at the same time.
Asikudanganye mtu eti 100 ya Basi ni kubwa kuliko 100 ya Passo.
Huo ni uongo wa mchana kweupe.
Hahahahahahahah ukiwaza ile 800K ya bushing na wishbone unakuwa mpole🤣 unatembea mwendo wa kobe kwenye matuta!Nna experience ya BMW X3. Nilikua nalibembeleza kwenye rasta maana najua gharama zake kwenye kubadili bush na wishbone. Ila ukikuta lami nzuri na haina bumps za hapa na pale utatembea mpaka uchoke
Kabisa. Halafu hapo hajakutana na kibao cha men at work kisha kipande cha barabara kimefungwa unatakiwa uchepuke kwenye barabara yenye mawe kama m300 hivi 😂.Hahahha ndio maana namwambia huyo chalii hio GX V8 ni kama Tank! Yani inafukia rasta na ma bumps kama utani vile 😅
Wakati wewe unarudi 30KPH kuruka bumps mwenzio analipanda na 100KPH gari inanepa tu na kutembea 😅