Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi naomba nichangie kidogo hapo.Gari za mjapani zinazoishia 180kmp ni zile zilitengenezwa maalum kwa domestic market(Japan) ndo ndio ambazo huko nyumbani wananunua kama used.Lakini ambazo Japan wana export masoko ya nje kama USA,European uninon countries zinakanyanga mpaka 260kph au 160mph.Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....
Mjerumani angempita tu...
Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...
With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Caterham 620R,Porsche 911 turbo S,Nissan GTRHizo ni SUV..
Yes hiyo Trackhawk ni fastest..Gari ya kushindana na Lamborghini Urus au Tesla ila X6.. Cayenne.. AMG sedans nyingi haziziwezi..
Pia hakuna sedans zenye engine ndogo zinayoweza acceleration ya hizo SUVs..! Kama zipo naomba unijuze..
Kiongozi naomba nichangie kidogo hapo.Gari za mjapani zinazoishia 180kmp ni zile zilitengenezwa maalum kwa domestic market(Japan) ndo ndio ambazo huko nyumbani wananunua kama used.Lakini ambazo Japan wana export masoko ya nje kama USA,European uninon countries zinakanyanga mpaka 260kph au 160mph.
LC hizi za kisasa zina 240 kph. So ni mwendo mdundo tu shida inakuja ikiburst tyre, hapo lazima mtafutaneGari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....
Mjerumani angempita tu...
Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...
With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Unaweza kuta dereva wa LC alikua amerelax huku anakula mahindi ya kuchoma alafu jamaa anajisifu amempita.😆Mbona hamna ligi hapo? Unazijua kweli V8 zikilianzisha? Mlimpita mkiwa na spidi ngapi?
Unatumia browser chapNatumia app ya JF nikitaka kuona hiyo attachment iliyotumwa nafanyaje?
Ndio inavyoonesha...Hio cruiser ina kichaa kibaya sana sema tu dereva hapo hana haraka ila huyo bmw angeehenya maana hizo cruiser zinakuwaga na 260KPH moto mkali!Unaweza kuta dereva wa LC alikua amerelax huku anakula mahindi ya kuchoma alafu jamaa anajisifu amempita.😆
Aisee fans wa Toyota wengi hamfahamu magari zaidi ya V8 na JZ engines..Mbona hamna ligi hapo? Unazijua kweli V8 zikilianzisha? Mlimpita mkiwa na spidi ngapi?
Unaweza kuta dereva wa LC alikua amerelax huku anakula mahindi ya kuchoma alafu jamaa anajisifu amempita.😆
Hio ni speed ya GX trim kama unayoiona hapo ila VX au ZX zinachapa 260KPHLC hizi za kisasa zina 240 kph. So ni mwendo mdundo tu shida inakuja ikiburst tyre, hapo lazima mtafutane
Jamaa alikuwa hakimbii huyo bana wee! Yani hapo kama ni speed yuko 120! Sasa ukimpita mtu mwenye mwendo wa 120KPH unajisifia kweli?Aisee fans wa Toyota wengi hamfahamu magari zaidi ya V8 na JZ engines..
Landcruiser V8 zipo zenye top speed ya 180kph.. 240kph..260kph..ukiangalia kwenye hiyo video hilo ni GX.. 240kph.. Mimi chuma cha kijerumani kwanini nisimsoke..!!
Akiyapita magari mengine mnasifia V8 gari inakimbia.. Nikimsmoke mnasema amerelax..! Angekuwa amerelax hiyo Prado 150 ingepitwa vipi..!!
V8 ni mbabe kwa wajapani wenzake.. Huku kwingine inakuwa mvutano..!
Kama angekuwa 120 ningempita kwenye 3rd gear..!Jamaa alikuwa hakimbii huyo bana wee! Yani hapo kama ni speed yuko 120! Sasa ukimpita mtu mwenye mwendo wa 120KPH unajisifia kweli?
Wakati jamaa ana 120 zingine za kukopa😅 angekukazia mguu tu kwa 200-220KPH ungesanda yani ungekuwa unamuonelea mbali maana speed ananyunyuzia kwenye tuta tu!
Kwahio umempita na 5th gear hapo?Kama angekuwa 120 ningempita kwenye 3rd gear..!
Ni vile watu hamtaki kuamini kuwa V8 huwa zinapitwa.. Hata zikiwa full mwendo..!
Kwa aliyeendesha gari ya kijerumani anaelewa kabisa..!
Af tatizo umeficha kibatiKama angekuwa 120 ningempita kwenye 3rd gear..!
Ni vile watu hamtaki kuamini kuwa V8 huwa zinapitwa.. Hata zikiwa full mwendo..!
Kwa aliyeendesha gari ya kijerumani anaelewa kabisa..!
😄 kwa hiyo kile kibati pale kimeandikwa 180 ndicho mwamuzi siyo? Fanya tena uchunguzi anza na basi lenye 160 vs Passo 180.Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....
Mjerumani angempita tu...
Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...
With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Ndio hapo sasa nashangaa jamaa anasema kila gari ya Japan ina 180kphHio ni speed ya GX trim kama unayoiona hapo ila VX au ZX zinachapa 260KPH
Land Cruiser zinasepa balaa hasa ukute dereva mzoefu unaweza usione imepitia wapi. Alafu uzuri wake halichagui barabaraNdio inavyoonesha...Hio cruiser ina kichaa kibaya sana sema tu dereva hapo hana haraka ila huyo bmw angeehenya maana hizo cruiser zinakuwaga na 260KPH moto mkali!
V8 achana nalo akikaa dreva sahihi huwezi muacha kizembe. Utabisha tu ila ndo uhalisia.Kama angekuwa 120 ningempita kwenye 3rd gear..!
Ni vile watu hamtaki kuamini kuwa V8 huwa zinapitwa.. Hata zikiwa full mwendo..!
Kwa aliyeendesha gari ya kijerumani anaelewa kabisa..!