Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....

Mjerumani angempita tu...

Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...

With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Kiongozi naomba nichangie kidogo hapo.Gari za mjapani zinazoishia 180kmp ni zile zilitengenezwa maalum kwa domestic market(Japan) ndo ndio ambazo huko nyumbani wananunua kama used.Lakini ambazo Japan wana export masoko ya nje kama USA,European uninon countries zinakanyanga mpaka 260kph au 160mph.
 
Hizo ni SUV..
Yes hiyo Trackhawk ni fastest..Gari ya kushindana na Lamborghini Urus au Tesla ila X6.. Cayenne.. AMG sedans nyingi haziziwezi..
Pia hakuna sedans zenye engine ndogo zinayoweza acceleration ya hizo SUVs..! Kama zipo naomba unijuze..
Caterham 620R,Porsche 911 turbo S,Nissan GTR
 
Kiongozi naomba nichangie kidogo hapo.Gari za mjapani zinazoishia 180kmp ni zile zilitengenezwa maalum kwa domestic market(Japan) ndo ndio ambazo huko nyumbani wananunua kama used.Lakini ambazo Japan wana export masoko ya nje kama USA,European uninon countries zinakanyanga mpaka 260kph au 160mph.

nimegusia pia hicho kitu. Angalia Post number 25 (#25)....

Japo nimeiongelea tu ulaya....
 
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....

Mjerumani angempita tu...

Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...

With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
LC hizi za kisasa zina 240 kph. So ni mwendo mdundo tu shida inakuja ikiburst tyre, hapo lazima mtafutane
 
Mbona hamna ligi hapo? Unazijua kweli V8 zikilianzisha? Mlimpita mkiwa na spidi ngapi?
Unaweza kuta dereva wa LC alikua amerelax huku anakula mahindi ya kuchoma alafu jamaa anajisifu amempita.😆
Aisee fans wa Toyota wengi hamfahamu magari zaidi ya V8 na JZ engines..
Landcruiser V8 zipo zenye top speed ya 180kph.. 240kph..260kph..ukiangalia kwenye hiyo video hilo ni GX.. 240kph.. Mimi chuma cha kijerumani kwanini nisimsmoke..!!
Akiyapita magari mengine mnasifia V8 gari inakimbia.. Nikimsmoke mnasema amerelax..! Angekuwa amerelax hiyo Prado 150 ingepitwa vipi..!!

V8 ni mbabe kwa wajapani wenzake.. Huku kwingine inakuwa mvutano..!
 
Aisee fans wa Toyota wengi hamfahamu magari zaidi ya V8 na JZ engines..
Landcruiser V8 zipo zenye top speed ya 180kph.. 240kph..260kph..ukiangalia kwenye hiyo video hilo ni GX.. 240kph.. Mimi chuma cha kijerumani kwanini nisimsoke..!!
Akiyapita magari mengine mnasifia V8 gari inakimbia.. Nikimsmoke mnasema amerelax..! Angekuwa amerelax hiyo Prado 150 ingepitwa vipi..!!

V8 ni mbabe kwa wajapani wenzake.. Huku kwingine inakuwa mvutano..!
Jamaa alikuwa hakimbii huyo bana wee! Yani hapo kama ni speed yuko 120! Sasa ukimpita mtu mwenye mwendo wa 120KPH unajisifia kweli?

Wakati jamaa ana 120 zingine za kukopa😅 angekukazia mguu tu kwa 200-220KPH ungesanda yani ungekuwa unamuonelea mbali maana speed ananyunyuzia kwenye tuta tu!
 
Kama angekuwa 120 ningempita kwenye 3rd gear..!
Ni vile watu hamtaki kuamini kuwa V8 huwa zinapitwa.. Hata zikiwa full mwendo..!
Kwa aliyeendesha gari ya kijerumani anaelewa kabisa..!
 
Kwahio umempita na 5th gear hapo?
 
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....

Mjerumani angempita tu...

Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...

With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
😄 kwa hiyo kile kibati pale kimeandikwa 180 ndicho mwamuzi siyo? Fanya tena uchunguzi anza na basi lenye 160 vs Passo 180.
 
Kama angekuwa 120 ningempita kwenye 3rd gear..!
Ni vile watu hamtaki kuamini kuwa V8 huwa zinapitwa.. Hata zikiwa full mwendo..!
Kwa aliyeendesha gari ya kijerumani anaelewa kabisa..!
V8 achana nalo akikaa dreva sahihi huwezi muacha kizembe. Utabisha tu ila ndo uhalisia.

Mwenyewe nina mjerumani ila ukileta mambo ya kushindana na huyo mjapan kwenye hizi barabara zetu na dreva akiwa vizuri hutoboi.

Kwanza ile gari kwenye bamsi anafukia tu wakati lets say una x5 new generation huwezi fukia bamsi kubwa utaogopa sensa zisidondoke.
 
Back
Top Bottom